dini

  1. T

    Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  2. kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
  3. Tasisi za dini za kiisalamu bado zimelala hapa tanzania zikizungukwa na matapeli wakichangisha au kujipigia miradi.

    Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada. Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
  4. Happy sabbath, Dini ya kweli ni sabato

    Surah Al-Baqarah (2:65) states: "And you had already known about those among you who violated the Sabbath, and We said to them, 'Be apes, despised.'" Context of this verse: This verse refers to a group of people among the Children of Israel (Bani Isra'il) who disobeyed the command of Allah...
  5. Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  6. W

    PreGE2025 Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa

    "Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
  7. Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  8. PreGE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  9. Mh. Kiasi: Viongozi wa Dini wahangaike pia na njaa ya haki ya Waumini wao

    “Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
  10. ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali Lakini kwa ZBC...
  11. K

    Kiongozi wa dini anasema ukweli

    Kuna watumishi wazalendo🙏 https://youtu.be/OaJUpqRmdUI?si=k4rHM3xLXXEWmI3I
  12. Hii ndio sababu kuu vita haitakuja kuisha Palestina vs Israeli

    MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina. Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
  13. Ni lini tutataka nchi zilizotutawala, dini zilizotudanganya, kutuibia na kutuharibu zitulipe fidia kwa uharibufu na hasara vilivyotusababishia?

    Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii. Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
  14. Kiongozi wa umma apimwe kwa Uwezo wake si kwa Jinsia, Ukabila, Dini, Uzanzibari au Ubara

    Salamu wakuu, Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
  15. PreGE2025 Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

    Wakuu, Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana. ==== Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha...
  16. Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  17. Kwanini Yesu na Muhammad walipokufa waliacha vurugu? Nini uhalali wa utukufu na mantiki ya dini na matokeo ya vifo vyao?

    Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu Ukiachana na vifo...
  18. Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  19. Hizi Dini bwana

    Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
  20. Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

    Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje . Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI hasa zile dini za Ulaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…