dini

  1. Kama kweli kuna peponi, hawa watu weupe wanavyotuchukia wangeleta kweli kitu kinaitwa dini ili twende nao huko peponi?

    Dini zipo nyingi sio uislamu na ukristo tuu kabla ya watu weupe kuja africa tulikua tunaabudu mungu kupitia dini gani?? Mungu si yupo tuu kabla hata ya hizi dini za watu weupe kuja? Hizi dini mpya za kikoloni ni utapeli (mungu yupo) ila tafuta namna ya kumuomba kama mababu zako walivyofanya...
  2. H

    Bara la Afrika linahitaji sheria,katiba na Dini zao kulingana na ASILI ZAO

    Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni? Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
  3. Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  4. Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

    Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?! Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka...
  5. Bunge, Mahakama, utawala, dini, na wenye fedha wanapoungana jua tumekwisha

    Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi. Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano. Je nini kifanyike...
  6. Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  7. W

    Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  8. Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  9. H

    Dini na wanasiasa ni mapacha wanaoshirikiana kuwanyonya na kuwaamgamiza WAAFRIKA

    Huwezi ukatenganisha wanasiasa, na dini kwani hawa ndiyo vibaraka wa ukoloni mamboleo na wanyonyaji wakubwa kupitia zaka na kodi za Waafrika. Makanisa na misikiti hawalipi kodi, serikali inawaacha tu ili wachungaji na masheikh waje kuwasaidia kuwahubiria Waafrika yaliyomo kwenye vitabu vya dini...
  10. Wanaume waislamu wanafaidi sana maisha, wanajipakulia minyama tu kwa uhuru wote.

    Wagalatia hili suala la mke mmoja tu inabidi liangaliwe tena
  11. H

    Wanaoua Asili ya Mwafrika ni wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika!!

    Habarini, Wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika ni watu wanaotumia nafasi zao kuharibu ASILI YA MWAFRIKA kwa kukumbatia na kuamini kilichoandikwa kwenye biblia na quruan pasipo kutafakari na kupembua kama vilivyoandikwa ndani ni kweli uongo ktk vitabu walivyoletewa na kulisha ujinga uliomo...
  12. Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  13. Mdau anahoji "kwanini Vitabu vya dini vimetafsiriwa kila lugha, lakini sio vitabu vya maarifa ya dunia"

    Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
  14. Zawadi ya Jumapili! Sikiliza na download playlist hii ya nyimbo za dini

    huyu kuna nyimbo kama vile picha ya mama -bahati bukuku nina siri-israel moyo wangu-rose muhando kunyata nyata- christina shusho-ningare martha mwiaapaya godluck gozbet joel n.k https://hearthis.at/ignas-ndimbo/dvj-nasmiletz-gospal-vol-4-nina-siripicha-ya-mamaherikijitonyamamartha-mwaipayamgendi/
  15. H

    Dini Asilia za Kiafrika

    Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zilienea Afrika, bara kubwa lenye jamii na tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za...
  16. Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

    Niongee machache kuhusu vitabu vya dini. Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism) Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu. Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi. Tanakh ni Biblia...
  17. M

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
  18. A

    Kesi Dhidi ya Dini: Mtazamo wa Kiakili

    1. Uvumbuzi wa Dini na Wanadamu Dini imekuwepo kwa maelfu ya miaka, lakini hakuna dini moja ambayo imewahi kutawala imani za wanadamu wote kwa ujumla. Kila jamii imeunda miungu, hadithi, na maandiko yake matakatifu, jambo linaloonyesha kuwa dini ni uvumbuzi wa binadamu badala ya ukweli wa...
  19. Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…