dini ya kikristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

    Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi. Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uboreshwaji wa data za wanandoa hasa kwa dini ya Kikristo

    Habari.. Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa) Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Makanisani na Misikitini Wamejaa Wapagani Wengi Sana Ambao Wanaenda kwa Sababu Mbalimbali

    Na: Rorschach Katika jamii zetu, tunaamini kuwa yeyote anayekwenda kanisani au msikitini ni mtu wa dini, muumini thabiti wa mafundisho ya imani husika. Lakini swali la msingi ni hili: Je, watu wote wanaohudhuria ibada kweli ni waumini? Je, kuna uwezekano kuwa makanisa na misikiti yetu siku hizi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa!!!!

    Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna viongozi wa dini ya kikristo walivyoongea kwa hofu ya usalama; Je, Rais anapaswa kumsikiliza nani kama kila mtu anamtupia lawama?

    Viongozi wa dini wamekuwa wakienda maofisini na maeneo mbalimbali wanapoitwa na wanasiasa. Wakiwa mbele ya wanasiasa wote ugeuka nakusifia kwamba hali ni shwari Lakini weekend hii wametoa matamko magumu sana utawala wa kisiasa nchini. Wamezungumza kama vile wamewahi kuomba forum ya kuwaeleza...
  6. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #π™†π™–π™―π™žπ™‰π™–π™π™©π™ͺ𝙏π™ͺπ™£π™–π™¨π™€π™£π™œπ™–π™ˆπ™—π™šπ™‘π™š
  7. JamiiForums Tanzania Kuna shida namna ya Israel inavyotazamwa na waumuni wa dini ya Kikristo

    Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje Hata wakiskia Israel wamepiga bomu shuleni.. wao safiiiii. au wamepiga bomu hospital wao safiiii tu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya tawala za dini ya Kikristo zilizoanguka duniani

    Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka: Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Kiafrika zenye idadi ndogo ya waumini wa dini ya Kikristo kwa mwaka 2024

    Uwepo wa Ukristo barani Afrika unaendelea kuendana na hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi za bara hili. Hotuba inayozunguka taasisi ya Kikristo barani Afrika ni ngumu, yenye viwango tofauti vya uungwaji mkono, upinzani, na hali ya kutoelewana. Hata hivyo, Ukristo umekuwa mojawapo ya taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…