dini ya kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Changamoto ya Ujumuishaji wa Somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa Wanafunzi Wakristo katika Upataji wa Wastani na Vipaji Maalumu Zanzibar

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hususan Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imekuwa ikihesabu somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK) katika wastani wa ufaulu kwa wanafunzi wote, wakiwemo wanafunzi Wakristo, kwenye upimaji wa darasa la saba licha ya ukweli kwamba wanafunzi hao hawafanyi...
  2. Chizi Maarifa

    UKWELI kuhusiana na DINI ya Kiislamu na Kikristo katika Theolojia na Misingi yao

    Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M. Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo na kama kuna njia ya kutoka. 1. Kwa nini ukatili wa kidini...
  3. Idugunde

    Tulinde amani na kuacha mafisadi wa CCM wakiiba rasilimali zetu za umma?

    Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
  4. chama mpangala

    Familia ya Wahhabi na nguvu ya Illuminati kwenye dini ya Kiislamu ili kutimiza malengo yao

    FAMILIA YA WAHHABI NA NGUVU YA ILLUMINATI KWENYE DINI YA KIISLAMU ILI KUTIMIZA MALENGO YAO. Illuminati walikuwa hawamtaki tena Shah, na Khomein ndiye aliyekuwa kibaraka wao mpya. Akiwa hapo alipokea msururu wa wageni kutoka BBC, CIA na kutoka kwenye shirika la kijasusi la Uingereza. BBC wakawa...
  5. MK254

    Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wachinja watu 89 DRC Congo

    Yale yale ya muarabu na dini yake yanaendelea kusababisha mauaji Afrika na duniani. Mwafrika anamchinja Mwafrika mwenzake kisa dini ya muarabu. ============ Vikundi vinavyohusiana na Islamic State, ADF, vimewaua raia 89 katika mashambulizi North Kivu, mashariki mwa Kongo, ikiwemo wanawake na...
  6. MK254

    Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wachinja wanavijiji 52 kule DRC

    Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya muarabu.... Islamic State-backed rebels armed with machetes and hoes have killed at least 52 civilians in...
  7. Mateso chakubanga

    Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

    Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah .wote hawamuamini Yesu kama...
  8. MchunguZI

    Migogoro ya msikiti wa Mwembechai na Kwamtoro, na kanisa la KKKT dayosisi ya mlima Meru, Serikali haikufuta usajili

    Mwembechai na Kwamtoro, ni misikiti miwili ambayo ilisababisha machafuko makubwa ktk nchi. Naweza kusema haijawahi kutokea hapo kabla na baada. Lakini Hatukusikia Serikali Ikifuta dini ya kiislamu. KKKT Dayosisi ya mlima Meru ilikuwa na vurugu za kujeruhiana na baadi kukosa makazi, pia...
  9. W

    Mtoto wa Madrasa afungwa kwenye mti na Kuchapwa kwa kushindwa kuisoma Quran kwa Kiarabu

    Video ya kusikitisha inayosambaa mtandaoni Nigeria inaonyesha Mvulana mdogo akiwa Madrasa kafungwa kwenye mti baada ya kupigwa viboko kwasababu ya kushindwa kuisoma Qur’an kwa sauti kwa lugha ya kiarabu. Google: Almajiri child tied tree
  10. M

    Maswali na majibu ya dini ya Kiislamu

    Faidika na fatwa mbalimbali za masheikh wakubwa wa Kisunni kama vile: Sheikh Al-Albani Sheikh Ibn Baaz Sheikh Ibn Uthaymiyn Sheikh Muqbil Sheikh Fawzan Fatwa hizi zipo katika mfumo wa video na zimewekewa maandiko ya Kiswahili (subtitles) ili kueleweka kwa urahisi zaidi. Tembelea kupitia...
  11. JanguKamaJangu

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  12. Influenza

    BoT: Zanzibar yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba, inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu

    Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo. Akizungumza...
  13. Poppy Hatonn

    Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

    Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby. Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati. Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
  14. Mwachiluwi

    ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali Lakini kwa ZBC...
  15. imhotep

    Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

    Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi. Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African...
  16. Dumas the terrible

    Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada. Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Ancient civilization ila leo nagusia religious issues, Katika utafiti wangu mdogo...
  17. Zee la madawa

    Kwa dini ya kiislamu usafi kwa mwanadamu umezingatiwa sana lakini unapaswa uwe na imani ya dini

    Just imagine mtu anaenda chooni kukojoa halafu hajisafishi tupu yake ya mbele unafikiri nini kitatokea? Hapo lazima atapata ma toilet disease tu kama UTI, Cystis, Urethritis na mengine neyo na pia atanuka nguo zake na mwili wake. Just imagine mtu hususani wanawake wanaenda chooni wanakojoa Bila...
  18. MK254

    Magaidi wachinja maskini wanavijiji 38 DRC

    yaani mwendo wa kuchinja tu, tena wanachinja maskini walalahoi wasiokuwa na mbele wala nyuma, huwa najiuliza siku mkija kugundua huyo "mungu" wenu sie na kwamba muda wote mumeua watu ili kumkosha mungu asiye, mtaficha wapi aibu. _________ Suspected Islamist rebels killed at least 38 people in...
Back
Top Bottom