dili

Dili (Portuguese/Tetum: Díli, Indonesian: Kota Dili), also known as City of Peace, is the capital, largest city, chief port, and commercial centre of East Timor (Timor-Leste). Dili is part of a free trade zone, the Timor Leste–Indonesia–Australia Growth Triangle (TIA-GT).

View More On Wikipedia.org
  1. Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

    Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160. Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake. Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
  2. W

    Kumbe Msama wa mama alipiga dili la milioni 984 na alikuwa na courage ya kuongea kwenye Media

    TAKUKURU inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kughushi nyaraka, utapeli na utakatishaji fedha kupitia Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 1371/2026 lililofunguliwa Mahakama ya Kisutu Januari 21, 2026. Washtakiwa wanadaiwa kughushi nyaraka za...
  3. Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

    Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
  4. Dili la kuwa mkimbizi Ufaransa limetiki, muda huu nipo Paris

    Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Afrika Magharibi. Na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu...
  5. Tupeane madili popote ulipo kama una dili leta hapa

    Kahama mjini wana tupeane madili Kwa walio msalala naomba kufahamu kuhusu kilimo cha bustani inakuwaje ? Watu wa mikoa mingine kama una dili weka hapo chini. Tupeane fursa
  6. Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu. Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa. Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta. Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
  7. M

    Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
  8. House4Sale Mwenye Camera Kali aje nimpe dili week end hii

    Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa. Location ni Gongo la mboto. Hakikisha una Camera ya viwango. Njoo inbox niku connect
  9. GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

    Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu, Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache, power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa...
  10. M

    Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

    Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,) Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ? Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
  11. Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  12. M

    Sio dili, ni wajibu...

    Mzazi kumsomesha mtoto haipaswi kuwa uwekezaji unaosubiri faida siku moja. Watoto hawazaliwi kama mikataba ya kurejesha mkopo. Wanahitaji malezi bora, elimu na upendo—si kwa sababu watatulipa kesho, bali kwa sababu ni jukumu letu leo. Mzazi anapaswa kutoa elimu bila masharti, na kulea bila...
  13. Ng’ombe wa Maziwa Mjini: Dili Unaloishi Nalo Bila Kulijua!

    Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa! Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
  14. Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
  15. Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

    Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland Agiza bia hapo nakuja lipia.......🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
  16. Kumbe Devotha Minja alishalamba dili la kutengeneza vitenge vya CHAUMMA

    Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema. Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa...
  17. Jinsi mtu mmoja anawaingiza maelfu ya watu kwenye uovu ili dili lake lifanikiwe

    Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi. Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde. Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
  18. S

    Mrisho Mashaka Gambo atachaguliwa na wanachama wa CCM kwenye kura za maoni na sio madiwani wapiga dili

    Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake. Eti amemuomba...
  19. R

    Katika kila ndoa za wachezaji 100 wa basketball NBA Marekani, ndoa 87 zinavunjika baada ya wachezaji kustaafu,

    Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia pamba za bei, mkwanja upo wa kutosha, Ni ngumu kuambiwa NO wakitupa ndoano Lakini kuna mchezo mchafu...
  20. Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…