dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa PAMOJA kukuza uchumi wa Wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rwanda yaikosoa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya maafisa wake wa kijeshi

    Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe ilikuwa ni CIA waliofanya ujasusi dhidi ya Ayatollah na wenzake!

    https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6 Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA. CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake. Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mashulizi Dhidi ya Iran Yalenge Watawala, Wananchi Walindwe Au Wasaidiwe Kuingia Mataifa Jirani.

    Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI. Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa: 1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran. 2. Wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Nitawasimulia wajukuu wangu tena kwa madaha ni namna gani nilibahatika kushuhudia vidume hawa wawili wakiikomboa dunia huru dhidi ya radicals

    LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION Hawa ndio wanaohakikisha dunia huru isiwe chini ya radicals na extremists.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  8. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia

    Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na lenye gumzo kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi. Jamii ya kidemokrasia, maandamano ni moja ya njia...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  12. JamiiForums Tanzania Hadi leo mtu mweusi bado anakamatwa na kuuzwa, utumwa dhidi ya mtu mweusi ni kama jadi kwa baadhi ya waarabu, miaka 1400 ya kutuuza haikutosha.

    Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa. Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

    Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
  14. JamiiForums Tanzania Videos: Maneno ya Trump ya chuki dhidi ya Ilhan Omar 😂

    Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

    Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

    Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC. Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu. Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki. Tunafuatilia.
  17. JamiiForums Tanzania NGAO YA NDANI: Jinsi mazoezi yanavyolinda viungo vyako dhidi ya majeraha

    Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla. Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
  18. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  20. JamiiForums Tanzania Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…