dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi ya Sabaya kusikilizwa siku 5 mfululizo

    Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023. Rufaa hiyo namba 155/2022 mbali na Sabaya wajibu rufaa...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa mashtaka ya binafsi ya Jacob Zuma dhidi ya Rais Ramaphosa

    Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo. Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  4. JamiiForums Tanzania Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

    Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
  5. H

    JamiiForums Tanzania TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Samia, Tanzania yapaa Kimataifa vita dhidi ya Rushwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

    TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana. Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA? Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
  8. JamiiForums Tanzania Hatua mpya za NATO dhidi ya Urusi

    Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha. Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima...
  9. JamiiForums Tanzania Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

    Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza. Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH. Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kuipa Ukraine Patriot air defense system ambayo Zelensyky amekuwa akiililia kila Siku: Ila siyo mwarobaini dhidi ya kipigo cha Urusi!

    Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kesho lazima Argentina apewe penalti dhidi ya Ufaransa

    Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5. Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
  13. JamiiForums Tanzania Faini ya Tsh. Bilioni 1 dhidi ya Mgodi wa Williamson Diamond yazua mjadala kwa wadau wa Madini

    Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo. Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuchukua hatua dhidi ya kampuni iliyochoma Vifaranga 50,000

    Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...
  15. JamiiForums Tanzania Messi anaenda kufunga 'hattrick' yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchezo dhidi ya Croatia

    Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali. Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu. Vamos Argentina.
  16. JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

    Rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi kesho Jumanne Desember 13, 2022. Rufaa hiyo ilikatwa na Serikali ikipinga hukumu ya kuwaachia Sabaya na wenzake watano iliyotolewa Juni 10,2022. Juni 10,2022 Sabaya na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

    Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa. Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?? Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
  18. JamiiForums Tanzania Kunani EU? Ursula alipuka "EU lazima 'ichukue hatua' dhidi ya kuumizwa na Marekani"

    TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA. IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA" Soma: Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…