dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  2. JamiiForums Tanzania Unataka kujua haki inatukanajwe? Tembelea viunga vya Mahakama za Prof Juma, kesi ya Yanga dhidi ya Magoma haina namba na imeshaamuliwa!

    Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mutatis mutandis dhidi ya celeris paribas

    Mutatis mutandis: Lat. With the necessary changes in points of detail, meaning that matters or things are generally the same, but to be altered when necessary as to names, offices, and the like. Yaani, the basic structure is the same but there may be a few changes made. Celeris paribus...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Magoma dhidi ya Yanga imedhihirisha umbumbumbu wa wanasheria wa Tanzania

    Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa. Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri vifungu vya sheria na procedures tu. KWA mfano: Kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Mtu mzima ananzia...
  5. JamiiForums Tanzania Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba

    Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hukumu inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza...
  6. JamiiForums Tanzania Je Yanga inaweza kushitakiwa na mahakama ikiwa itathibitika kuwa wamefanya udanganyika dhidi ya mahakama?

    jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa...
  7. JamiiForums Tanzania WHO yazindua chanjo mpya dhidi ya Malaria, Ivory Coast

    Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster. Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
  8. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Manyanyaso Ya Bi.Mwajuma Dhidi Ya Mpangaji Wake Bwana Hassan

    Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo: Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmetufanya wengi tuwe Waasi dhidi ya timu yetu

    Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla. Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  12. JamiiForums Tanzania Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

    RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar 1. Usuli Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuwalinde na kuwatetea watoto wa Taifa letu dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa kufanya yafuatayo

    Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
  14. JamiiForums Tanzania TRA kuvunja rekodi dhidi vifo vya biashara na viwanda,tujitafakari na kujirekebisha

    Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  17. JamiiForums Tanzania Ahmed Hassan Salame, gaidi lililoongoza mashambulizi ya Oct 7 dhidi ya Israel, lauawa

    Hakuna anayesazwa, wote lazima wakatafune mabikira kuleeee. IDF and Shin Bet intelligence led to the elimination of Hamas terrorist Ahmed Hassan Salame Alsauarka in a targeted airstrike, with no civilian casualties. Operating on intelligence provided by the IDF and Shin Bet (Israel Security...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

    Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA" Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee 15 Juni, 2024

    Wasaalam wanajukwaa wote. Wito kwenu tuungane wote kuwatakia Wazee wetu kote nchini🇹🇿 HERI YA MAADHIMISHO ya Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee Leo 15 Juni, 2024. Kaulimbiu "Utu, Usalama na Ustawi ni nyenzo ya kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wazee". TUKUMBUSHANE wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…