dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Urusi yaionya Marekani dhidi ya shambulizi lolote kwa Iran

    Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana. Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran. Je Urusi anaweza kuungana na Iran...
  2. JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya uhamiaji haramu huko Afrika Kusini!

    Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi! Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo. Halafu kuna hii hoja ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya dola dhidi ya TZS kwa siku ya jana na leo yaantisha

    Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
  4. JamiiForums Tanzania Wale wale wahuni waliovuruga mazoezi ya Simba ndio hao hao sasa wanamtisha Hersi saidi kama atakubali mechi dhidi ya Simba...

    Hersi saidi yupo kwenye mtanziko mkubwa sana kuhusu maamuzi ya kukubali kucheza mechi ya marudiano baada ile ya march 8 kuota mbawa...ukisikiliza anachosema anaonyesha dalili za woga na kuna kitu hakipo sawa anaogopa dhidi ya washabiki wake wahuni wasio na adabu...Hersi ana zunguuka anaogopa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  8. JamiiForums Tanzania Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

    Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari...
  9. JamiiForums Tanzania Madai ya Wafanyabiashara wa Kariakoo dhidi Ya Wachina ni ya kweli ?

    Muda huu nasikia kipindi cha Good Morning,kinacho rushwa na WSF na Kuna shutuma zinatolewa kwa Wachina kwamba wamekuwa chanzo Cha matatizo kadhaa hapa nchini. Wachina wanashutumiwa kusababisha uhaba wa dola,hawatoi risiti,hawana vibali vya Kazi,wanafanyakazi za wazawa nk Binafsi naomba kuuliza...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  11. JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha Watutsi/wahima kama wakoloni weusi toka eneo la Ethiopia dhidi ya mbari ya Wabantu.

    Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto Nile. Wana historia wengine waliwatambua kama Cushite. Sura na maumbo yao ni zile za waoromo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

    Wakuu Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho. Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani. Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  15. JamiiForums Tanzania Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi dhidi ya PSG, Mo Salah na Alexander-Arnold watibuana mazoezini

    Wachezaji wawili wa Liverpool, Mohamed Salah “Mo Salah” na Trent Alexander-Arnold wameonekana wakirushiana maneno hali iliyofanya wenzao kadhaa kuingilia kati na kuwatenganisha wakati wakisogeleana wakati walipokuwa kwenye Uwanja wa Mazoezi. Tukio hilo limetokea muda mfupi kuelekea mchezo wa 16...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

    Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza. Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka Timu ngeni...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna vita ya kimfumo dhidi ya wanaume

    1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission. 2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha 3. Hata katika kuwezesha hulu mtaani, ni wanawake. Mfano kuna program nyingi zinazolenga kumuinua...
  19. JamiiForums Tanzania Salva Kiir Aomba Utulivu Kufuatia Shambulizi Dhidi ya Helikopta ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa. Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sudan Kusini (UNMISS) watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya helikopta ya Umoja...
  20. JamiiForums Tanzania GSM ameahidi bonasi ya TSh. milioni 500 endapo Yanga itashinda dhidi ya Simba

    Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…