Wadau hamjamboni?
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi.
Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi...
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar.
Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane
• Mkuu wa VAR...
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min amefungua kesi Polisi dhidi ya Mwanamke ambaye alidai ana ujauzito wa staa huyo wakati sio kweli na kwamba alifanya hivyo kwa lengo la kupata fedha kutoka kwa Son.
Wanasheria wa Son wanadai Mdada huyo alitoa madai hayo Juni 2024 na akataka fedha...
Ukweli ni:
1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian.
2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati),
kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana?
Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:-
Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (Assistant Commissioner of Police - ACP). Ameshikilia nyadhifa mbalimbali...
“All imperialists are nothing but paper tigers.”
- Mao Zedong
Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu.
Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu.
Siku hiyo kwa tambo na...
Hadi sasa sababu nzuri za kumshtaki Lissu kwa makosa ya uhaini zinatia shaka na upande wa mashtaka wanaumiza vichwa kutafuta mashiko katika kesi hii ya kihistoria.
Upande wa mashtaka walitamani kesi isikiliziwe uvunguni katika chumba cha giza bila Umma kujua kinachoendelea lakini Lissu...
Serikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli.
Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025.
Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa.
Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Israeli.
Siku ya Jumanne, Israeli ilifanya mashambulizi ya anga yaliyolenga...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.
Picha hii hapa👇
Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima.
Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
dhidi
ikulu
jasusi
kanisa
kanisa katoliki
kanisa katoliki tanzania
katika
katoliki
kitima
maajabu
miezi
miezi miwili
padre
padre kitima
shambulio
tanzania
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.
Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya...
Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea...