💚 Shukrani za Dhati 💚
Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Ndg. Dkt @samia_suluhu_hassan , Mwenyikiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Imani yako kubwa kwangu hasa kwa kunipendekeza na kisha kuteuliwa na Halmashauri kuu ya CCM Taifa kuwa Katibu Mkuu...