dhana potofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    Tayari ameshaanza kuona dhahiri shahiri, athari za mizaha, kutafuta tension kizimbani, kuja mahakamani kwa matumaini na matarajio hewa na ujuaji mwingi usio na faida kwake na kwa wafuasi wake na ambao unampotezea muda mwingi zaidi kusota mahakamani na korokoroni daily, huku giza totoro likitanda...
  2. Mikael Aweda

    Kauli ya sina mtaji wa biashara ni dhana potofu

    Kuna wengi sana hawafanyi Biashara kwa sababu wanadhani kwamba tatizo lao ni kwamba hawana MTAJI. Utamsikia mtu anasema nikipata Mil 10, Au nikipata Mil 100 au nikipata laki 5 nitabadilisha maisha yangu oabisa. Huko ni kutokujua. Hakuna kitu kama hicho. Hatuhitaji MTAJI mkubwa Bali UNAHITAJI...
  3. N

    Baba Lishe avunja dhana potofu za jinsia katika Tamasha la Chakula

    Dar es Salaam, 29 Septemba 2024 – Tamasha la chakula la Coca-Cola Tanzania maarafu kama ‘Coca-Cola Food Fest’ limezidi kunoga huku muuzaji mmoja, maarufu "Baba Lishe," akiibuka kuwa kivutio cha kipekee. Stanlaus Baron, ambaye ni muuzaji wa chakula anayekua kwa kasi, amejitokeza kupinga mitazamo...
  4. Mturutumbi255

    Spinachi na Nguvu za Kiume: Ukweli na Dhana Potofu

    Nguvu za Kiume ni Nini? Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha uume, na utendaji wa jumla wa tendo la ndoa. Hali hii inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na afya...
  5. JamiiCheck

    SI KWELI Dhana Potofu kuhusu Ugonjwa wa Figo

    Alhamisi ya pili ya Mwezi Machi kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani ili kutoa ufahamu na kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa afya ya figo na magonjwa yanayohusiana na figo. Kupitia maadhimisho haya, watu hupata fursa ya kujifunza kuhusu njia za kuzuia magonjwa ya figo, kudhibiti...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    Tuhuma za Waafrika hasa wenye hali ya chini kuwa wavivu ni dhana potofu

    Kumekua na hii dhana kwa mda mrefu sana kwamba waafrika ni wavivu ni uongo kwa sababu zifuatazo; Waafrika wengi wamekatishwa sana tamaa mfano mzuri kuna wazee wengi sana wamestaafu wako katika majuto makuu wamefanya kazi kwa uamunifu mkubwa sana lakini wanastaafu hawana kitu wanajuta wengi...
  7. Heparin

    NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Maambukizi na Matibabu ya VVU na UKIMWI

    VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani. Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...
  8. Zillion

    Mafukara na dhana potofu ya Freemason na Wapigaji

    Wakuu asalaam, Ni muda mrefu nimetafakari uwezo kufikiri na upotoshaji wa wanasiasa kwa jamii ya Watanzania hasa masikini. Kwanza kuna dhana ya masikini kuwachukia waliofanikiwa. Jambo hili ni hatari kwa ustawi wa jamii na linafanyika hadharani. Mtu fukara akipambana na kufanikiwa ataitwa...
Back
Top Bottom