A desktop computer is a personal computer designed for regular use at a single location on or near a desk or table due to its size and power requirements. The most common configuration has a case that houses the power supply, motherboard (a printed circuit board with a microprocessor as the central processing unit (CPU), memory, bus, and other electronic components), disk storage (usually one or more hard disk drives, solid state drives, optical disc drives, and in early models a floppy disk drive); a keyboard and mouse for input; and a computer monitor, speakers, and, often, a printer for output. The case may be oriented horizontally or vertically and placed either underneath, beside, or on top of a desk.
Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I.
Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba, imezingua desktop inashindwa kuisoma photocopy machine.
Nimeenda nimejaribu kila njia ku-install drivers...
Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo kwenye desktop
Shida ni kwamba kila nikijaribu kuiweka hii ram mpya mashine haiwaki nakosea wapi wakuu...
Kampuni : SEAGATE
Size: 1 TB
Contacts: PM
Hard Disk nzuri haina shida aina yoyote,ukihitaji nikuwekee na movie aina zozote utakazotaka inawezekana pia (bei ya movie tutaongea).
Nikikupa HARD DISK ikiwa na MOVIE zote uzitakazo mpaka inajaaa utalipia 150,000 TU.
Movie zipo aina zote hamna...
Habari wadau!
Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo.
Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password 30,000/= Tshs
Nipo Machinga Complex Karume Dsm 0718 290779
Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE,
Size: 8TB
Price: 250,000
Contacts: kwa muhitaji tuchekiane PM
Location: DAR - M/CITY
HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata...
Habari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked .
Aina ya database nayoweza kutumia.
Na vitu vingine muhimu katika flow nzima.
Nafanya project ya kuhitimu.
Nawasilisha na asanteni.
Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/=
Desktop Aina ya dell
Ram 2
Hard disk 320GB
CPU DUO 1.6Ghz
Hali:Imetumika
Mahali:Mkoa wa Dar es salaam
Simu no 0717265343
Karibu.
Habari wana JF?
Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi
Ahsante!🙏
Habari za mchana,
Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi.
Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali zinatakiwa kuwekwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.