Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake!
================
Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...