dereva

  1. Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyeshikiliwa Sudan amehukumiwa miaka mitatu jela

    Dereva Mtanzania aliyekuwa akiendesha lori, Juma Ally Maganga (45) ambaye alikuwa akishikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini kwa tuhuma za kugonga mtu na kusababisha kifo cha mtu huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani. Taarifa kutoka kwa mmiliki wa Lori alilokuwa...
  2. P

    DEREVA PIKIPIKI

    Anaitajika Dereva pikipiki (1) 1. Awe na leseni 2. Awe anaishi banana , majumba sita, kitunda , kibeberu, kivule, mwanagati. 3. Malipo ya mwezi:150,000 4. Ela ya chakula 2,500 5. Awe analielewa na kulijua Jiji la Dar es salaam vizuri. Mawasilino: mazingirapacha@gmail.com AU...
  3. Dereva wa kukodi napatikana

    Habari!!! sikukuu za Pasaka zimekaribia, kwa wale wote wenye safari mbalimbali ndani ya Dsm au nje yaani mikoani na wana usafiri BINAFSI wanahitaji dereva nipo kwa ajili yako, Mimi ni dereva professional kwa kuendesha familia na watu BINAFSI, gharama ni Makubaliano Kwa mawasiliano nipigie...
  4. Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  5. L

    PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO. Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
  6. S

    Kama Mkurugenzi na dereva wa TANESCO wamekufa, Polisi wamejuaje ajali ilisababishwa na dereva kumkwepa mwendesha baiskeli?

    Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
  7. Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  8. Wape ushauri dereva na utingo wake!

    Hawa jamaa derva na utingo wake, wamechoka kufa mtu. Hebu wape ushauri wa bure!
  9. Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

    Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
  10. T

    Dereva Mwanamke wa Malori alalamikia kuzuiwa Vigwaza kwa Siku Tatu, ahoji faini kubwa na Ukosefu wa Huduma

    Dereva Mwanamke wa gari la mizigo aina ya Copper akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameeleza malalamiko yake kuhusu kuzuiwa kwa siku tatu katika mzani wa Vigwaza, akidai kutozwa faini ya shilingi 956,400 bila maelezo ya kina. Kuna mama analalamika kuzuiliwa na gari yake ya mizigo...
  11. Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  12. S

    Msaada juu ya kuwa dereva wa Bolt/Uber

    Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe napiga kazi ya uber/bolt kuingiza chochote kitu. Sasa sijui taratibu zake za kujiunga zinakuaje na...
  13. DRIVER-Transport officer available (V.i.P grade ||)

    Habari ndugu na jamaa, naitwa Abduly mtenya natafuta kazi ya udereva ni mzoefi wa miaka 6, na sifa zote za udereva 99%… 📲whatsapp number & calls for more information +255659972797 asanteni👏
  14. DOKEZO Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

    Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
  15. Mwenye gari na anahitaji dereva wa kukodi kwa trip.

    Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa katika kuendesha gari basi unaweza kunitaarifu. MUHIMU. Ninafanya part time jobs za udereva malipo ni...
  16. Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  17. Natafuta dereva Uber/Bolt

    Natafuta dereva mzoefu wa bolt/ uber Awe Dar es salaam Mzoefu na awe na account ya bolt/uber Nicheck inbox
  18. Dereva wa roli anatafuta kazi , yupo dar

    Habari wakuu. Mimi ni dereva wa Magari makubwa Kama Scania ,Faw .n.k Nimekuja hapa kutafuta Ajira au Kazi Kwa wamiliki wa maroli . Nipo na uzoefu wa kutosha wa jumla miaka 8 Namba yangu ya simu ni +255 749 515 178
  19. Ila hapa Wenje jamaa yetu lakini alikosea. Alimnyima Dereva wake hata Million 1? Hata mimi ngeacha kazi

    Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa dereva? Lissu alileta mapozi. Akazikataa pesa. Ukisusa wenzio wanakula. Hata mimi ngekuwa Wenje na...
  20. L

    Dereva Bolt natafuta kazi

    Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti nan passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0698568933. Heri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…