Wakati deni la Taifa lizidi kupaa, baadhi ya wataalamu wa uchumi wameonya kuhusu matumizi ya fedha za mikopo, wakitaka Serikali iwekeze nguvu kudhibiti upotevu wa mapato kabla ya kufikiria kuongeza wigo wa mapato.
Soma> Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la...