"Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"
Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli.
Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo
Mama...
DEMOKRASIA IMARA TANZANIA CHINI YA DKT. SAMIA
Rais Samia Suluhu Hassan amechukua hatua kadhaa ambazo zimeonekana kuimarisha demokrasia nchini Tanzania tangu achukue madaraka mwaka 2021. Baadhi ya hatua hizi ni pamoja na👇
Kuruhusu Mikutano ya Kisiasa
Tofauti na miaka ya awali ambapo kulikuwa...
“Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria
Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi linaonekana dhahiri tunapoyaangalia mataifa ya Afrika kwa macho ya ukweli usiofungwa na siasa wala hisia...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi.
Akihutubia wakazi...
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!...
Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo!
Wenzetu kila...
Well presented with illustrative cartoons to drive the points home.
Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo
Mwanzo: Dakika ya 20:22
Mwisho: Dakika ya 37:26
https://youtu.be/F2RbjppeaKc
Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida.
Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza...
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
Ndugu zangu Watanzania,
Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama.
Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao.
🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo.
🔹. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za...
Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care.
Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata?
Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu.
Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...