demokrasia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Ufaransa waonekana waziwazi, haijali demokrasia Afrika bali masilahi

    Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
  2. JamiiForums Tanzania Napendekeza tumpe tuzo ya demokrasia Mama Samia: Kama alivyofanya BAWACHA

    Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi. Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe. Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia Tanzania iliondoka na Mzee Kikwete. Kwa sasa uchaguzi imebaki maigizo tu

    Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa. Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 UPDP, Demokrasia Makini wazindua kampeni

    Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinakaribia ukingoni, viongozi wa vyama vya siasa nchini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki kwa amani na utulivu kwenye uchaguzi huo. Mwenyekiti wa United Peoples Democratic Party (UPDP), Twalib Kabeje, amezindua kampeni za chama hicho...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katika kubalance mambo tuonekane tuna demokrasia vyama vidogo vidogo vya upinzani vitashinda baadhi ya maeneo ila sio CHADEMA!

    Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi.. Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia.. Ila once again CHADEMA poleni Hii itakuwa zaidi ya 2020..
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu mwenezi Arusha: Wao wanaokoteza wagombea, CCM ina demokrasia

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao. Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  9. JamiiForums Tanzania Demokrasia inayoongelewa nchi hiyo labda ipewe jina lingine

    Kwa drama zinazoendelea kwenye mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa zinaonesha kwa jinsi gani tuna matatizo. Ka uchaguzi haka kadogo drama za kijinga zinainuka ambazo hazina maana. Demokrasia nchi hii ime base kwenye kuhamasisha watu kupiga tu "kupiga kura ni haki yako" Watu wengi hawana...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe alalamika kuhusu ubakaji wa Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika; "Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukirudi kutoka ziarani Marekani na Cuba tuletee zawadi hii: Uwe umejifunza demokrasia ya vyama vingi na uchaguzi huru na wa haki

    Sio bahati mbaya rais Samia amekwenda Marekani wakati huu taifa hilo lenye nguvu zaidi duniani likiwa katikati ya mtanange mkali wa uchaguzi. Na mara hii ni kati ya mhafidhina Donald Trump na mwanamama Kamala Harris. Mtu hawezi kushindwa kufikiri kuwa kimya kimya rais Samia amekuwa kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja sio demokrasia

    Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna...
  15. JamiiForums Tanzania Wamarekani wameichoka Demokrasia?

    Karibia nusu ya Wamarekani wanamsapoti na wangependa awe Rais wao mtu anayehusudu madikteta kuanzia Xi, Putin, Kiduku hadi Hitler!
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Demokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI Safari ya CCM 🚍 Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  18. JamiiForums Tanzania Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

    Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi 1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu 3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 5.Zambia -...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

    Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa? Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
  20. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi kushirikishwa kumtoa madarakani Naibu Rais wa Kenya

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang'ula ametangaza ushiriki wa wananchi katika hoja ya kumng'oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Oktoba 4, 2024 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi Mchakato huo utafanyika katika kaunti zote 47 na Wetang'ula amebainisha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…