demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Tujadili Demokrasia ndani ya CHADEMA. Je inashawishi ama kukatisha tamaa?

    Matukio, mwenendo na mitazamo ya wengi kwa sasa yamejikita kwenye mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Tunachokiona kwa sasa nimnyukano mkali ambao ulianza kama tetesi na hususan michakato mirefu ya chaguzi kuanzia ngazi za chini hadi sasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa chama...
  2. JamiiForums Tanzania Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo cha uwepo wa demokrasia?

    Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
  3. JamiiForums Tanzania Vyama katika demokrasia imara kote duniani haviweki ukomo wa uongozi, CHADEMA haijakosea katika hili.

    Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18 Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata bado ni Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee tangu mwaka 2016. Zimbabwe, Morgan Tsvangirai alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi...
  5. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CCM wanakusudia kutukatisha tamaa na sisi wakati mwingine tunawehuka na kuanza kukata tamaa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Freeman Mbowe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Jumapili Desemba 15, 2024. Updates... Mbowe CHADEMA inaoutofauti na vyama vingine vya upinzani kwa sababu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani. Chadema...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA Mbeya wamuunga mkono Lissu

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025. === Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea leo, Ijumaa...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM si mfano bora wa demokrasia ya vyama

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, ameonyesha wasiwasi wake juu ya hali ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini, akisisitiza kuwa vyama vingi vimejikita katika kuongozwa na viongozi badala ya kuheshimu matakwa ya wanachama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo. Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
  11. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kwenye utawala na Demokrasia alifeli pakubwa sana

    JPM kwenye Utawala na Demokrasia Julius Kambarage Nyerere, baba wa taifa la Tanzania, alijenga msingi wa utawala wa kidemokrasia nchini. Hata hivyo, utawala wa John Pombe Magufuli (JPM) ulionyesha mabadiliko makubwa katika mtindo wa uongozi na namna ambavyo demokrasia ilitekelezwa. Wakati JPM...
  12. JamiiForums Tanzania Wazungu hawajali kuhusu Demokrasia bali maslahi yao

    Wazungu siku zote hawajawahi kujali chochote kuhusu demokrasia bali wanacho jali wao ni usalama wa maslahi yao pekee. https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=1A5TRtPcP5OBMBvIE3lAow&s=19 https://x.com/BBCWorld/status/1866050983748370941?t=EJrShBe7s07doaM7Z4onDA&s=19
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu

    Wakuu, Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah. Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao...
  14. JamiiForums Tanzania CCM adui wa demokrasia na maendeleo yake

    Kutokukubaliana na maamuzi ya wananchi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka ni sawa na kuzuia maendeleo. Wagombea wanapojinadi, wananchi hupata nafasi kubwa ya kuchagua kiongozi wanayeamini ataleta maendeleo. Hata hivyo, CCM mara nyingi huonyesha utayari wa kupinga maamuzi ya wananchi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Demokrasia itakapo kufa kwasababu ya watu wenye tamaa ya kupata madaraka kinyume na utaratibu watanzania wengi wenu mtaenda kufa amani itatoweka

    Maono kuelekea Tanzania isiyo ya kidemokrasia: Watanzania demokrasia nchini itakapo toweka kwasababu ya watu wenye tamaa za madaraka kinyume na utaratibu tulioweka wengi wenu mtakufa na kutekwa usalama wa taifa utazorota, huduma za msingi zitapungua na gharama za maisha zitapanda, kodi nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wa Polybius huenda tatizo kubwa la Afrika ni kujaribu kurukia Demokrasia, kukimbia kabla ya kutambaa

    Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis". Katika nadharia ya...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI LHRC wametoa barua inasema Tanzania imeonesha hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wakuu nimekutana na barua mtandaoni inasambaa inaonekana kuwa ya LHRC ina kichwa cha habari, uimarishwaji wa demokrasia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, barua hiyo inaeleza kuwa Tanzania imeonesha hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa. wakuu hapa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Ufaransa waonekana waziwazi, haijali demokrasia Afrika bali masilahi

    Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
  19. JamiiForums Tanzania Napendekeza tumpe tuzo ya demokrasia Mama Samia: Kama alivyofanya BAWACHA

    Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi. Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe. Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia...
  20. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia Tanzania iliondoka na Mzee Kikwete. Kwa sasa uchaguzi imebaki maigizo tu

    Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa. Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…