dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaotaka dawa za kienyeji (asili ) zitolewe kwenye hospitali za Serikali ni vema wakaruhusu pia kupiga Chale na ramli

    Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale . Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima...
  2. JamiiForums Tanzania Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

    Wakuu habari ya uzima? Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
  3. JamiiForums Tanzania Dawa asilia sasa kuwekewa mkakati wa kupatikana katika Vituo vya kutolea Huduma za Afya na Maduka ya Dawa za Binadamu

    Na WAMJW - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imeweka mkakati wa kusogeza karibu huduma za tiba asili kwa jamii ambazo sasa dawa hizo asilia zinawekewa mikakati ya kupatikana hadi kwenye vituo vya kutolea huduma za afya pamoja na maduka ya kuuza...
  4. JamiiForums Tanzania Dawa ya kupunguza ukubwa wa uume.

    Msaada wakuu. Nimekua niki kimbiwa na mabinti wa kila aina duniani. wapi nitapata namna ya kupunguza size. Hilo tatizo linaweza kutibika?.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za Corona: Bupeji na Covido za Magufuli zinapatikana wapi?

    Mabibi na mabwana kwa mujibu wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli dawa za Corona hazipo huko nje tu. Amenukuliwa Dr. Magufuli akisema, "Tanzania ina dawa nyingi za kutibu Corona." Ameendelea zaidi kwa kusema, "katika dawa hizo tuna Covido na Bupeji ambazo zina uwezo wa kutibu Corona kwa kiwango...
  6. JamiiForums Tanzania Nadhani Wizara ya Afya wako sahihi kusema tutumie dawa yenye vitunguu swaumu kupambana na korona

    Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona. Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA

    Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini. DAWA YA CORONA TANZANIA
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Waziri wa Afya Dk Gwajima azindua dawa ya Asili ya Corona waweza itengeneza mwenyewe nyumbani MCHANGANIKO WA DAWA LISHE NA MITI DAWA KWA AJILI YA TIBA YA KORONA Namna ya kuandaa DAWA LISHE Mahitaji: 1 Tangawizi ya urefu wa kidolegumba chako vipande 5 2 Kitunguu swaumu punje 10 3 Pilipili...
  9. JamiiForums Tanzania Baba, mtoto matatani kwa tuhuma za kuuza dawa za Serikali wilayani Newala

    Mtego uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad akiuza dawa za Serikali. Taarifa ya TMDA inaeleza kwamba Sad amenaswa kwenye mtego huo Januari 31, 2021 wilayani Newala na alikuwa akiuza dawa za Serikali za Mpango wa Uzazi. Dawa hizo ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutafunga kila mtu kwa wizi wa dawa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote. Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

    Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kufukiza UDANOL hulinda Afya yako

    Taifa letu likiendelea kwa mwendo kama huu tutafika mbali sana. Katika video hii kuna dawa iliyotengenezwa hapa hapa Tanzania, ni dawa ya kufukiza inayoitwa UDANOL.
  13. JamiiForums Tanzania Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

    Wakuu Salaam, Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda. Hivyo wananchi wameanza kufanya kazoezi, Kuvaa Vitambaa vinavyofunika Pua na Mdomo ikiwemo kufuata...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kunenepa ya hospitalini?

    Habari JF Doctors na washauri mbalimbali, Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika, Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu. Natumai mtanipatia majibu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Afrika tunatia aibu kutokuwa na uwezo wa kutengeneza dawa

    Yaani pamoja na wasomi wote tulionao bara nzima bado tunasubiri huruma kwenye kila kitu hata Chanjo za Corona. Lakini kibaya nchi zote za Africa ukiacha Senegal hata jitihada za kutafuta chanjo hakuna sasa OAU na hizi EAC , SADC ni za nini kuongea tu!!. Tungekuwa na viwanda vya madawa hata...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa

    Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi. Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje. Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

    Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
  18. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshilikilia sungusungu wa kijiji cha Nyamalogo Fedson Matekele na William Desdez (27) muuguzi wa zahanati ya Nyamalogo kwa kosa la wizi wa dawa za binadamu katika zahanati hiyo iliyopo katika kata ya Nyamalogo wilaya ya Shinyanga na kuziuza nyumbani. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono. Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…