dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

    Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Katiba itatoa dawa ya Uzalendo ama tunalilia tusichokijua kwanza?

    Kuweka tumaini kubwa kwenye katiba kwamba ndio itamaliza matatizo yetu yote, ni kujidanganya. Sina hakika na siamini kama vyama vyetu vyenyewe ikiwa katiba zao zimetoa nafasi kwa viongozi wake wawe ni wa kudumu na kwamba hawawezi kutoka mpaka waseme basi,, Si kweli, zaidi sana wanakosa kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

    Rais Samia ametengua uteuzi wa katibu tawala wa mkoa Lindi ndugu NGUSA SAMIKE. Naona mama anatupa jongoo na mti wake kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wasalaam wana jamii forums, Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya.. -Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu mzima dawa

    Kuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea ovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mzee atoa Mafunzo ya Vijana dhidi ya Dawa za Kulevya

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mjini Magharibi Amina Ali Mzee alikuwa mgeni rasmi katika kufungua mafunzo ya vijana dhidi ya dawa za kulevya yaliyoandaliwa na taasisi ya vijana Mwembetanga Youth Organization (MYO) Amina Mzee amewapongeza sana taasisi ya vijana ya Mwembetanga Youth Organization...
  8. JamiiForums Tanzania Uso wangu una vidude vyeusi, nisaidieni dawa

    Ndugu zangu Naomba kwenda direct to the point uso wangu una vidude vyeusi kama vitano exactly sijui vinaitwaje please kwa anayejua tusaidiane dawa.
  9. JamiiForums Tanzania Dawa hizi zinaponesha fangasi?

    Et ndugu, kuna mtu aliyewahi kuugua fungas sugu akatumia izi sindano zikamsaidia gentamicin injection au seftriason injection kama yupo aseme.
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya wanawake wajanja wanjanja

    Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli! Namimi nikaamua kuchange gear angani kimya kimya,nikakata mazoea kabisa toka mwezi wa 12 nikaacha kabisa kuwapa attention...
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuvunja laana na mikosi

    Habari yako mkuu Naomba kueleweka kwanza mimi sio mganga wala mganguzi ila katika pitapita zangu kwenye social media nimepata kuona dawa mjarabu kwa wenye vifungo vya mizimu na majini binafsi imenisaidia MASHARTI Hutakiwi kuwaamini mchafu kiroho yaani ni kwamba hauitajiki kuwa mchafu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania DAWA KIBOKO YA MAPUNYE AINA ZOTE

    Habari ndugu wanajamii! kazi iendelee na ibada za kuhabarishana ziendelee. Basi Leo nimekuja na habari njema kwa familia, ndugu na jamaa, awe mtoto au mtu mzima dawa ya mapunye alitupatia mwenyezi Mungu Bure tena Kwa kila mgonjwa au mwenye kusumbuliwa na mapunye Daya ya mapunye: Mkojo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

    Salaam. Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia kuna wakati unasikia sauti yao jinsi wanavyotafuna kitu cha mbao. Hawa wadudu wananitia wazimu, nina...
  15. JamiiForums Tanzania Dawa gani ya kusafishia nywele iliyosukwa isiwe na harufu ya uvundo?

    Warembo wa jukwaa hili naomba kujua dawa au spray ya kusafishia nywele zilizosukwa ili kutokuwa na uvundoo. Asanteni
  16. JamiiForums Tanzania Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

    Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
  17. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aomba majadiliano na DPP kumaliza kesi

    Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake. Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu asiyekufa kwa Dawa zilizopo Afrika agundulika Kenya

    Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa zaidi kuhusu Dextrose, Normal Saline na Ringer's Lactate

    Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake. Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea. Concentration yake hatakiwi kupewa mama mjamzito au mwenye high BP. Ringer Lactate nayo kama NS...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa zimesahauliwa kwenye mwendo kasi

    Mfuko wa karatasi ya kaki wenye dawa muhimu umesahauliwa leo 15 Feb saa 10 alasiri kwenye mwendo kasi toka Morocco kwenda Kimara. Kama umeuona tafadhali piga simu no 0742957797. Ahsante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…