dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

    Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
  2. JamiiForums Tanzania Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview) Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno. Tafadhali msaada wenu.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  6. JamiiForums Tanzania Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  7. JamiiForums Tanzania DCEA yakamata Dawa za Kulevya aina ya Heroin ambazo zingeathiri Watu milioni 4.8

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
  8. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili yaongoza kitaifa kwa utoaji taarifa za madhara yatokanayo na dawa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeongoza kitaifa kwa 57% katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye utoaji taarifa za madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kati ya taarifa zote zilizopokelewa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa miaka ya fedha ya 2020/21, 2021/22 na 2022/23...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini? Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo sheheni kila aina ya biashara. Na moja ya biashara iliyopata umaarufu sana hivi karibuni ni...
  10. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha sigara

    #FAHAMU Ibrahim Yücel raia wa Uturuki aliamua kuvaa kofia maalumu kwa ajili ya kujizuia na uvutaji wa sigara baada ya kushindwa kuacha uvutaji. Kofia hiyo alifunga kwa funguo maalumu na kumkabidhi mtu mmoja ambaye alikuwa akimfungulia muda wa kula chakula tu. Mwanaume huyo alisema kuwa alianza...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Vichochezi vya matumizi ya dawa za kulevya

    Mwili wa mwanadamu una viungo mbalimbali muhimu baadhi ya viungo muhimu zaidi ni Ubongo, moyo, mapafu, ini na figo. Kila kiungo kinafanya kazi kutokana na ufasihi wa kiungo kingine cha mwili ndo vile kusema ukiuma moyo na mwili wote utauma.. kulingana na kichwa cha stori hii kikihusiana na...
  12. JamiiForums Tanzania Hakika watu tunakabiliwa na Magonjwa mengi, kila Ugonjwa unayo Dawa yake

    Salam wakuu, Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja cha kweli kilichotokea miaka mingi huko India, nami nimeonelea nikiweke humu ili tupate kujifunza. Katika miaka ya mwishoni mwa 1800 na mwanzoni mwa 1900 katika kijiji kimoja huko India alitokea mwanamke mmoja aliyepatwa na ugonjwa wa ajabu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Imejenga Vituo Maalum vya Urekebu na Ufundi Stadi ili Kuwasadia Wanaoathirika kwa Kutumia Dawa za Kulevya

    WAZIRI JENISTER MHAGAMA - SERIKALI KUJENGA VITUO VYA MAFUNZO KWA WARAIBU DAWA ZA KULEVYA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema Serikali imejenga vituo maalum vya urekebu na ufundi stadi ili kuwasadia vijana na wale wote...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Taifa la waliokata tamaa, Dawa yake ni nini?

    Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana! Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa, Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza vijana na watumishi waadirifu, wamejikuta wakitengeneza vijana wezi, watumishi wa umma mafisadi na...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu mlobobea na dawa za binadamu nisaidieni kuelewa hii relaxation effect iliopo kwenye dawa za 'Action'

    Hello bosses and roses..... Kuna muda nilikua napata sana maumivu ya kichwa ila hospitali hawakunipa majibu yoyote ya kunisaidia. Hii ikafanya nitafute dawa tu ambayo itakua inanituliza maumivu ya kichwa yakianza. Nilijaribu panadol ikafeli, dawa tatu ikafeli. Nikaja kujaribu hizi 'Action'...
  16. JamiiForums Tanzania Bangi ndio dawa inayoongoza kwa kutumika Tanzania

    Kama tulivyoaminishwa na hao wanaojiita wataalamu Bangi wanasema ni madawa ya kulevya ila cha ajabu dawa hii ndio inayoongoza kwa kutumiwa nchini Tanzania. Watu wanaitumia kumaliza stress, kujipongeza, kujitibu, kufukuza mapepo, kupata nguvu ya kufanya kazi na kuongeza ujasiri
  17. JamiiForums Tanzania Sasa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kushirikiana

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wamesaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi hususan katika kuzuia vitendo vya rushwa na dawa za kulevya hapa nchini kupitia vilabu...
  18. JamiiForums Tanzania Dawa za mapenzi ya kibatari mlipuko na utambi wa sanda na Karatasi ya kupepea kwenye mti. Tabora ni baba lao

    Niende kwenye mada wanyamwezi ni nyoko si mwanaume si mwanamke mapenzi yao wote ya kichawi, mvuto na wito wa kutumia dawq kumuita unaemtaka. Hivi mkoa wa tabora sikonge wanyamwezi huu upuuzi wameutoa wapi. Kizinde changu kimewashinda kila walichojaribu wapi mwamba nimeiva. Leteni visa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Dawa ya Ufisadi Tanzania

    Je, Umewahi kujiuliza, kwa nini baadhi ya familia watoto wanakuwa na maadili mema, huku nyingine wakiwa na tabia mbaya? Jibu lipo wazi, Binadamu unaweza kuandaa aina ya mtu/mtoto unayemtaka, kwa kuandaa mfumo wa mitazamo na fikra kulingana na tabia unayotaka awe nayo na kuzilisha kwenye...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Dawa ya huyu mdudu

    Huyu mdudu anakula mbao sana,kitanda, coffee table nk. Unasikia sauti inatoka ng'we, ng'we kwenye mbao ndio anakula hivyo. Dawa gani inafaa kutumia ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…