dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Maduro azuiliwa kutumia fedha za serikali ya Venezuela kugharamikia utetezi wa kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Marekani

    Waendesha mashtaka wa Marekani wamesema kuwa rais aliyeondolewa madarakani wa Venezuela, Nicolás Maduro, hapaswi kuruhusiwa kutumia fedha za serikali ya Venezuela kugharamia utetezi wake katika kesi ya biashara ya dawa za kulevya inayomkabili nchini humo. Waendesha mashtaka walisema serikali ya...
  2. R

    Mamlaka za Zanzibar (DCEA) imekamata dawa za kulevya zilizofichwa kwenye pipi, chocolate, korosho na shisha

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (DCEA), kwa kushirikiana na Kikosi Kazi cha Uhalifu wa Kupangwa Zanzibar (ZTOCTF), imebaini mbinu mpya zinazotumiwa kusafirisha dawa za kulevya kwa kuzificha ndani ya bidhaa za kawaida zinazotumiwa na wananchi kila siku. Katika...
  3. PAYE

    Zanzibar yafuta usajili wa Meli ya EAGLE baada ya kukamatwa El Salvador kwa tuhuma za Dawa za Kulevya

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuifuta usajili wake mara moja meli ya EAGLE (IMO No. 8203074) kufuatia taarifa za kukamatwa kwa chombo hicho nchini El Salvador kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kulingana na taarifa iliyotolewa Februari 27, 2026 na Mamlaka ya...
  4. BIG BROTHER ALEX

    Dawa za kulevya na Zanzibar, huyu member alisema, wakongwe mnakumbuka?

    Sikumbuki yule member alikua anaitwa nani? Iko hivi HUYU member ni WA shinyanga alienda zenji KUTAFUTA MAISHA, miaka hiyo ZAMANI SANA, alikua anafanya KAZI KWA wahindi. SIKU MOJA alifuatwa na MMOJA WA wahindi akamwambia ANATAKA afanye NAYE KAZI, AMPE MAISHA Yani HUYO member awe anafuata SAA...
  5. Carlos The Jackal

    Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa

    Kwa Sasa Mbwa kichaa ni lazima apewe majina yote mabaya mabaya ili Tumuue. Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa ama 👉Zinasafirisha Mafuta ya Magendo ya Wa Iran yalowekewa vikwazo ili yaingie katika...
  6. M

    Sababu Kuu zinazowafanya watu washindwe kuacha kuuza dawa za kulevya mara baada ya kuingia kwenye biashara hiyo

    Juma alianza kuvuta bangi akiwa form 2. Ilianza kama utani wa marafiki — kuvuta mara moja baada ya shule, kisha ikawa kawaida. Baadaye akaanza kuwafundisha wenzake kuvuta. Wengine walimuona kama “mjanja” na mwenye connection. Haikuchukua muda akaanza kuwauzia kidogo kidogo ili apate hela ya...
  7. Cute Wife

    El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

    Wakuu, Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?🤔 ==== Mnamo Februari 19, 2026, katika eneo la La Unión, El Salvador, Jeshi la Majini la nchi hiyo lilitangaza kufanya ukamataji mkubwa...
  8. Mhaini

    Ni nani anamtishia maisha Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya?

    Hapa Nchini aliyepo juu ya Sheria ambaye tumesikia mara kadhaa anafanya atakavyo ni 'mmoja' tu! Hakuna Mwingine mwenye jeuri ya kumtisha Kamishina wa madawa ya kulevya. Halafu Polisi wanafuatilia watu wanaoandika Mitandaoni na kudaia Serikali ina Mkono mrefu, halafu wanashindwa kukamata mtu...
  9. Mhaya

    El Mencho ndiye bosi wa dawa za kulevya anayeogopwa zaidi na mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa.

    Nemesio Oseguera Cervantes, anayejulikana zaidi kama El Mencho, alizaliwa Juni 17, 1967 katika kijiji kidogo cha Michoacán, Mexico. Alikulia katika familia maskini, akikabiliana na ukosefu wa fursa na mazingira magumu ya vurugu na umasikini, ambayo yaliunda msingi wa akili yake ya kibiashara na...
  10. R

    Maduro akanusha Mashtaka ya dawa za kulevya, asema 'alitekwa nyara' na kusisitiza bado ni Rais wa Venezuela

    “Mimi sina hatia. Sikujihusisha na kosa lolote. Mimi ni mtu mwema. Bado mimi ni rais wa nchi yangu,” alisema Maduro, mwenye umri wa miaka 63, kupitia mkalimani, kabla ya kukatizwa na Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, Alvin Hellerstein, katika mahakama ya shirikisho ya Manhattan. Mke wa...
  11. M

    Uraibu wa pombe na dawa za kulevya umechangia kushuka kwa wasanii wengi, kuharibu maisha yao, mali zao, uhusiano wa kijamii na hata kupoteza maisha

    Chidi Benz - Madawa ya kulevya Ray C - Madawa ya kulevya, kwa sasa kajirudi yupo ulaya Vanessa Mdee - alinusuika kupotea kwa Unywaji wa pombe kupitiliza, Langa - Madawa ya kulevya, RIP Nhwea - Madawa ya kulevya , RIP Kuna producer flani maarufu inasemekana nae alianza kutumia drugs alinusurika
  12. Mafyangula

    Mamlaka ya kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya takribani tani 4 zakamatwa

    Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za dawa za kulevya, kuteketeza ekari 18 za mashamba ya bangi pamoja na kutaifisha mali za wahalifu wa dawa za kulevya zenye...
  13. Mafyangula

    KTN yafichua jinsi JKIA ilivyogeuzwa njia dhaifu ya usafirishaji dawa za kulevya

    Lango kuu lenye shughuli nyingi zaidi Afrika Mashariki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, upo katikati ya kashfa ya kimataifa ya dawa za kulevya. Kitengo cha uchunguzi cha KTN kimekusanya ushahidi unaoonyesha jinsi mojawapo ya viwanja vya ndege vyenye shughuli nyingi zaidi barani...
  14. Mafyangula

    James Lyimo: Wanaotumia dawa za kulevya chanzo cha machafuko Tanzania

    Huyu naye atupishe huko! Atupe ushahidi Tangu vijana wa Gen Z tutangaze maandamano wanakuja na propaganda zao za hovyo tu! Tuwakumbushe kwamba ndio kwanza kumekuchaaa! ================== Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, James Lyimo ameongeza kuwa asilimia...
  15. Waufukweni

    DCEA yatoa pendekezo wauza dawa za kulevya kunyongwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeeleza kuwa ipo tayari kushauri mamlaka husika kutunga sheria itakayoruhusu wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya nchini kunyongwa. Pamoja na pendekezo hilo, mamlaka imewataka watu wote wanaojihusisha na biashara ya dawa za...
  16. Huihui2

    Khun Sa, kingpin wa dawa za kulevya kutoka Burma aliyemiliki jeshi lake binafsi

    Khun Sa (aliyejulikana pia kama Chang Chi-fu au Sao Mong Kwan) alikuwa kingpin wa biashara ya madawa ya kulevya na mwanaharakati wa kivita kutoka Myanmar (zamani Burma). Alizaliwa tarehe 17 Februari 1934 katika kijiji cha Loi Maw, wilaya ya Mongyai, Jimbo la Kaskazini la Shan. Alikufa tarehe 26...
  17. W

    Mrisho ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kukutwa na Dawa za Kulevya aina ya Cocaine

    Tarehe 23 Septemba 2025, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Hemedi Juma Mrisho maarufu kama Horohoro, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 31 Oktoba 2023, katika eneo la Boko Magengeni...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Mara Wakamata Bangi Kilo 1,103 na Mirungi Kilo 65

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu 192 kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, uvuvi haramu na utengenezaji wa pombe haramu aina ya gongo, kutokana na oparesheni maalum zilizofanyika kwa nyakati tofauti katika mkoa huo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  19. R

    Kilo 33,077 za Dawa za kulevya zakamatwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Mwezi Julai na Septemba 7/ 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata kilogramu 33,077.613 za dawa za kulevya aina mbalimbali, kilogramu 4,553 za mbegu za bangi pamoja na...
  20. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
Back
Top Bottom