dawa ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mafua

    Wakuu, Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini. Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua inapopatikana kwa Dar.
  2. JamiiForums Tanzania Dawa ya hizi rashes (upele)

    Msaada vipele ivo vinawasha sana, sijajua shida ni nini
  3. JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Dawa ya jino linalouma na lililotoboka

    C
  4. JamiiForums Tanzania Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa ndevu (Hair removal)

    Nahitaji hii dawa kwa kuondolea ndevu (Nair Hair Removal). Nimeitafuta kwenye maduka mengi sana ila nimeikosa. Mara ya mwisho niliipata supermarket moja ila kwa sasa nimerudi kuinunua sijaikuta. Nimepita supermarket za posta, napo huko nimeikosa. Kariakoo kwenye maduka makubwa na madogo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa ya Chango la Uzazi

    Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda mfupi baada ya kutungwa. Mara nyingi chango la uzazi husababishwa na vifuko vya mayai ya uzazi...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi yako

    Dawa ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi ✨ Michirizi kwenye ngozi (stretch marks) ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Mara nyingi husababishwa na: Unene uliopitiliza 🏋️ Kupungua uzito ghafla Baada ya kujifungua 🤱 Matumizi ya vipodozi vyenye kemikali Mabadiliko ya homoni na urithi wa kimaumbile...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa ya jino, Alera. Nisuluhisho kwa maumivu ya jino.

    JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖 Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko. 🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

    Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni. Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi...
  13. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  14. JamiiForums Tanzania Ipi dawa ya Dhakari kupinda

    Kiukweli napata changamoto kubwa sana pia nakosa kujihamini kwenye tendo sababu ya dhakari[uume] wangu umepinda kuelekea chini. Nakuwa mnyonge kwenye tendo maana baadhi ya mikao siwezi kupaform vizuri. Nilivyo kuwa mdogo nilikuwa navaa sana chupi labda ndio sababu ya kupinda. Mwenye kujua...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  17. JamiiForums Tanzania Dawa ya jino

    Habari za wakati huu, Kwa mwenye tatizo la JINO kuuma kwa kupekechwa na hatakama lina tobo katikati au otherwise njoo pm au piga moja kea moja 0711553826 nikupatie dawa nauza dukani kwa 3000/- tu na ninatuma mikoa yote. Naona watu wanateseka na haya maumivu na dawa ipo tena bei ndogo sana ni...
  18. JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

    Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini Mbaya zaidi kaninyima...
  19. JamiiForums Tanzania Dawa Ya Visunzua Sehemu Za Siri.

    Visunzua Sehemu Za Siri: Visunzua sehemu za siri vinavyojulikana kitaalamu kama genital warts ni vinyama vidogo vinavyoota sehemu za siri kutokana na maambukizi ya HPV (Human Papillomavirus). Hutokea kwa wanaume na wanawake, na mara nyingi husambazwa kwa njia ya ngono isiyo salama. Dawa...
  20. JamiiForums Tanzania Wajuzi msaada dawa ya asili kutibu Homa ya Matumbo (Typhoid)

    Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ?? Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…