da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré: Sitaki Polisi Watembee na Bunduki Nchini kwangu, Wananchi Hawapaswi kuishi Kwa Uoga Rais Ibrahim Traore

    Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, ameendelea kusisitiza umuhimu wa amani na mshikamano kati ya vyombo vya dola na wananchi, kwa kueleza kuwa hataki polisi wake kutumia vitisho kwa raia wala kutembea na bunduki kwa namna inayoweza kuleta hofu kwa wananchi. Traoré amesema lengo lake ni kuona...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanauawa kwa risasi South Africa (Sauzi). Nini kiko nyuma ya pazia?

    Kuna video moja nimekutana nayo mtandaoni kutoka NYUNDO TV inayozungumzia suala zito sana na la kusikitisha ambalo limekuwa likitokea hivi karibuni kwa ndugu zetu walioko Diaspora. Video hiyo imebeba maudhui: "Kwa nini watanzania wengi kufa kwa kupigwa risasi South Afrika siri hii hapa." Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ipe neno picha yangu ya leo asubuhi

    Mtego waPanya huo.................... UTANI KIDOGO! KIM JOUNG UN Ameweka Bendera Ya IRAN Korea Kaskazini Ili TRUMP Afikirie Kuwa Ni Iran. apate Kuipiga Korea ya Kaskazini.......
  4. JamiiForums Tanzania Jerusalem leo yageuka kama Gaza, Makombora toka Iran yameshushwa kama mvua 30 Km za Maraba zimeharibiwa vibaya sana

    Jerusalem today looks like Gaza .. IsraHELL you get what you deserve
  5. JamiiForums Tanzania Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea Tanzania kuwa kama ZIMBABWE.Ameandika Mheshimiwa Godbless Lema

    Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania asiruhusu kesi kama hizo. Tundu Lissu atolewe

  7. JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA akabidhiwa Gari Na Wa-Tanzania Wenye Urai Wa Oman

  8. JamiiForums Tanzania Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba29 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa – vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  9. JamiiForums Tanzania Ulaya Baridi Kali kuna barifu nyingi sana Kaka bora tubaki huko huko Home huku hakufai au wewe unaonaje ?

  10. JamiiForums Tanzania MAREKANI: Rwanda inahatarisha Usalama wa eneo la Afrika Mashariki

    Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani. Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya Leo Baada ya Uchaguzi Mkuu Wa Tanzania

    Mchora vibonzo wetu =AZVodGy-7VfJFtYauXKiSJ4maIdCuy7mr4LBz2CewgRmTb8mD-KjNErSe4fMel81EGoMLYz5XAhtECJrdgA7jKf4TzdM0j_lf9YPzUuDneRtYd8jX-B19kXtRtoMED5O8d7RMSVBZMO0U0ZrsnwtNo9AZfsGjFrBu2-IbzEJAqQQkByqtI6ddpaHt1ZUtD6i3Kv-PvrekjAlm3qFHcUdK1Y&__tn_=-]K*F']Said Michael 'Wakudata' anatupia jicho...
  12. JamiiForums Tanzania Usiku Mwema Marafiki Zangu

  13. JamiiForums Tanzania Nchi 7 'hatari' zaidi kwa usalama Afrika

    Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024Maelezo kuhusu taarifa Afrika ya Kusini mwa Jangwa la Sahara imeshuhudia kushuka kwa viwango vya amani katika mwaka uliopita, ambapo wastani wa hali ya amani katika eneo hili...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  15. JamiiForums Tanzania War No More Trouble Live At The Rainbow Theatre, London 1977

  16. JamiiForums Tanzania Unarudi Toka Kazini Unamkuta Mkeo anampiga Mama yako Mzazi.Je utafanya kitu gani kwa mkeo?

    Hatari kweli kisia huyu atakuwa ni mama yake mzazi au mama mkwe wake?
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuoga kila siku - hii ndiyo sababu

    Na Matilda Welin Makala mwandishi Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi. Miaka michache iliyopita, niliacha kuoga kila siku. Janga la Corona lilisababisha watu wafanyie kazi nyumbani...
  18. JamiiForums Tanzania "Show me one country that the USAID was inn and education improved..." ''The African leaders shouldn't be beggers for peanuts"

  19. JamiiForums Tanzania Mwamba huyu Historia Yake Haito sahaulika duniani kote Bingwa Wa Kung fu duniani Bruce Lee

    MWAMBA HUYU HAPA... BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga Push up 15000 kwa mikono miwili bila kupumzika,Push up 4000 kwa mkono moja na Push up 1000 kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Dawa Ya Nguvu Ya Kiume Ya Asili Kwa Wale Wenzangu Kwenye Mashindano Ya Kitandani usiku wanaofunga Goli Mapema haya chukuweni dawa hiyo Nimetoa Bure

    DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii. Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…