david kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtanzania Tajiri

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka. Kafulila ameyasema hayo wakati...
  2. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
  3. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: AFCON na CHAN zitumiwe na sekta binafsi na ile ya Umma kutengeneza ajira tujenge Viwanja vidogo vya mazoezi na Migahawa tutapa pesa

    ==== Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kafulila anasema...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

    Kuelekea Ujenzi wa barabara za kulipia Tanzania (toll road) David Kafulila, Mkurungezi Mtendaji PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa sio lazima mtu apite kwenye barabara ya kulipia kwani kila barabara ya kulipia itakuwa na barabara mbadala isiyo ya kulipia hii inampa mtumiaji uhuru wa kuchagua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn Tanzania itakuwa karibu marambili ya Africa ya Kusini

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo. David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana...
  6. Mtanzania Tajiri

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kila mwaka Serikali inapata hasara kutokana na ufanisi mdogo. Sekta binafsi duniani inamiliki teknolojia kubwa kuliko Serikali

    === Akizungumza na Waheshimiwa madiwani wa Ilemela waliofika ofisini kwake kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo PPP kwenye kituo hicho cha PPPC Tanzània, Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho cha Ubia nchini Bw. David Kafulila amewaambia madiwani hao kuwa Serika...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Barabara za kulipia zitapunguza foleni Dar Es Salaam

    Jumla ya miradi ya maendeleo 84 inatekelezwa kwa ubia baina ya sekta binafsi na Serikali kupitia kituo cha ubia Kati ya Seikali na Sekta binafsi (PPPC) kikieleza miradi miwili ya Barabara za kulipia ikiwemo ile ya Kibaha hadi Morogoro pamoja na Barabara za mzunguko za kulipia katika Jiji la Dar...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais Samia ampa nguvu zaidi David Kafulila

    == Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Je, David Kafulila anakumbukwa kwa lipi baada ya Kifo cha Jaji Werema?

    Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Hayati Jaji Frederick Werema, Kwa haraka nikamkumbuka...
  10. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kafulila asijifanye hajasikia ufisadi wa Adani, eti hana shaka nao

    Kama Kafulila na PPP yake hana shaka na Adani kama tulivyosoma mitandaoni basi ajue wananchi wengi taarifa za kushitakiwa hao watu kwa kupewa kandarasi marekani kwa kutoa rushwa zinathibitisha yale wamekua na mashaka nayo. Kwamba nchi wala haihitaji huduma kama za Adani. Ni huduma za kudumaza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Rais Mkapa alijutia kuiua PSRC Parastatal Sector Reform Commission, PPP haiuzi Mali za Umma bali inazilinda kwa kipindi chote cha mkataba

    Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter. Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu ikapata hasara ya mali na fedha kwa kuingia Ubia na Sekta binafsi toka ndani au nje ya Tanzania...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP

    Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano. Barabara hizo ambazo hazijaainishwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL...
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania PPP's / UBIA sio jambo Jipya Nchini; Wakati tunaingia mazima mazima ni Vema tukaangalia na Matokeo ya huko Nyuma

    Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema kuwa na UMILIKI ni NISHATI (TANESCO), USAFIRI, MAKAZI (NHC); BANKING na kwa sasa MAWASILIANO (kupitia...
  16. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila Waziri Mkuu Novemba 2025

    Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa. Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  18. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania INDIA: Kafulila afanya kikao na Balozi Annisa Kapufi Mbega

    Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X) "Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wachumi nguli waungana na David Kafulila

    Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila. Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

    ==== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na utafiti kwenye mradi au miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali wafike ofisini...
Back
Top Bottom