David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa mwaka wa Tanzania National Chember of Commerce...
Wasalaaam, Soma hii Mzumbe Public Lecture kwa makini sana uelewe kwanini serikali zote duniani kwa sasa zinakimbizana na PPP,
Mikopo yote (serikali, sekta binafsi, kaya) imefikia zaidi ya USD trilioni 300, wakati uchumi wa dunia ni takribani USD trilioni 115 — Deni hili ni karibu mara tatu ya...
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya...
Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l,
===
1. $1 Trilioni Club inawezekana
Historia inatufundisha: Korea Kusini ilitoka uchumi wa ∼$90-100 bilioni → $1+ trilioni ndani ya miaka 25. Mwaka 1995...
KAFULILA ATAJA MOTISHA AMBAZO MBIA ANAPEWA NCHINI TANZANIA
Dodoma – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Zacharia Kafulila, katika public lecture yake alieleza kwa kina kuhusu motisha (incentives) zilizomo ndani ya Sheria ya PPP, akisisitiza kwamba baadhi...
https://www.youtube.com/live/YM6E5-HS0cg?si=21CIYEQBhoNnR8Qj
UDOM PUBLIC LECTURE: DAVID KAFULILA YUKO LIVE
Katika mhadhara wa umma ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), College of Business and Economics, leo tarehe 3 Juni 2026, David Z. Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia...
MHADHARA MAALUM WA UMMA (PUBLIC LECTURE)
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia College of Business and Economics (CoBE), kwa kushirikiana na Public Private Partnership Centre (PPP Centre), kinakukaribisha kwenye Mhadhara Maalum wa Umma utakaowasilishwa na Mhe. David Kafulila Mkurugenzi...
AFRICA DAY 2026: PPP NI DARAJA LA MAENDELEO YA AFRIKA
Katika kuadhimisha Siku ya Afrika Mei 25, 2026, Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Tanzania (PPPC) kimetoa ujumbe wenye maono makubwa kuhusu mustakabali wa bara la Afrika kupitia ushirikiano wa maendeleo na uwekezaji...
===
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
===
Akiongea katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana Kafulila aliwapongeza wafanyakazi kwa mafanikio makubwa ya kuifanya ajenda ya PPP kueleweka kwa kasi kwa umma na mfumo mzima wa Serikali.
Akaendelea kusema, Mafanikio hayo yamepelekea...
https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share
Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
===
Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi na mabadiliko ya kidigitali, Tanzania inaweka misingi thabiti ya kujenga uchumi shirikishi kupitia ubia kati ya serikali na sekta binafsi.
Hatua hii muhimu zaidi inasimamiwa na Mhe. David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
David Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na...
Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi wakosoaji wa jambo hili wao mawazo yao ni nini?...”David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPP.
Huenda huu ukawa ndio mjadala mkali zaidi wa kiserikali tangu kuanza Kwa Mwaka mpya wa 2026.
===
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila atazungumza na Watanzania kupitia Kipindi maarufu Cha runinga Cha ITV kinachorushwa kila siku ya jumatatu kuanzia saa 3 Usiku.
Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila amekanusha madai kwamba ujenzi wa mtandao wa reli nchini utazifanya barabara kukosa kazi za kusafirisha mizigo.
Akizungumza kwenye kipindi cha DK 45 kinachorushwa na ITV, Kafulila alieleza kuwa hata mataifa makubwa kama Marekani, licha ya kuwa na...
https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd
MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers Council – TSC) limewaalika wadau wa sekta ya umma na binafsi kushiriki katika mdahalo maalum unaolenga kujadili njia bora za kuendesha bandari za Tanzania kwa ufanisi na uendelevu kupitia ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi (PPP).
Mdahalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.