david kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  3. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi, uwekezaji, biashara na mengine mengi. Kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ukitaka kuondoa rushwa na Mikataba mibovu, cha kwanza ni uwazi. PPP ina malengo Makubwa

    Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia: Ufafanuzi wa ubia Akifafanua kuhusu ubia ameeleza unatangenezwa katika mkataba wa uendeshaji wa jambo fulani, ambapo...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

    Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022. Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...
  6. Mwaikibaki

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

    Wadau, Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa! ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

    Wasalaam JF, Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala, Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
  8. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

    Viongozi wengi waliopumzishwa wamekaa kimya huku wakijitaftia mkate wa kila siku kupitia kwenye kilimo na biashara mfano mzuri wapo wakina Lukuvi, Kabudi, Ally Happi, Makonda Mzee Ndugai n.k.wewe umebaki unasifia mambo ambayo hayapo ili uweze kutazamwa upya jambo hilo halipo tena katika utawala...
  9. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Ulazima wa Kubadili Jina la Waziri wa Fedha napendekeza David Kafulila au Zitto Kabwe

    Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate. Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr...
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

    Mhe. David Kafulila akimkabidhi Katiba ya JMT Mkuu Mpya wa Mkoa Mh. Dkt Yahya Mawanda kama nyenzo yake ya kufanyia maamuzi Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mh. David Kafulila amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini (20)...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri rahisi 3 za kutoonekana kwa jina la David Kafulila katika teuzi za Wakuu wa Mikoa Julai 28, 2022

    Habari JF, Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila. Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :- 1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au 2. Ameachwa kutokana na...
  12. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania RC David Kafulila: Hii ndio hirizi ya CCM kuitawala Tanzania miaka mingi ijayo

    === Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo, Mhe Kafulia anachambua Machafuko na matokeo yake kwa nchi zingine na namna yanavyoathiri uchumi wetu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila na Hujuma Kwa Serikali Ya Awamu ya Tano

    David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Tanzania gharama za umeme ni ndogo

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu David Kafulila, amesema licha ya kuwapo kwa baadhi ya changamoto ya utoaji wa huduma za umeme, lakini Tanzania ni nchi pekee katika mataifa ya pembe ya Afrika Mashariki yenye gharama ndogo zaidi ya tozo za umeme, ikilinganishwa na nchi nyingine za ukanda za huo. Hayo...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila jana aliibua tuhuma nzito bungeni akiwahusisha mawaziri wawili na Sh200 bilioni zilichotwa katika Akaunti ya Escrow, iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya Tanesco na Kampuni ya kufua umeme ya IPTL. Katika tuhuma hizo...
Back
Top Bottom