Wakuu hivi inawezekanaje kuku kumsababishia kifo mtu kwa kumdonoa tu? Au kuna mchezo mchafu umefanyika hapa?
===
Mamia ya wakazi wa mitaa mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamejitokeza kuuzika mwili wa mtoto Josiah Benjamin Makelo (12) aliyefariki dunia jana kwa...
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD.
==
Katika mahojiano na Charles William kwenye kipindi cha One on One, mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo...
Wanafunzi 1,172,279 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, uliopangwa kufanyika kesho na kesho kutwa nchini, wakiwamo wavulana 535,138 na wasichana 637,141.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 9, 2025, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani...
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera
Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Pia elimu ya Mbunge wa Geita mjini bwana Chacha Wambura aka Waja
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Vijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu...
Habari njema sana kwa wana JF wote.
Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa.
Twende kwenye maada hapo chini.
HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba...
Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k.
Nunua chupi 200 uza 300 faida 100
Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000
nunua simu elfu 70 uza laki 2
Biashara...
Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi.
Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM.
Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya...
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.
Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili.
Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi.
Wanawake wengi sikuhizi...
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno
Elimu huongeza busara
Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu?
Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B
Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika...
Mahakama ya wilaya ya Kilombero imemhukumu Yegela Juma Mfula (22) mkulima, mkazi wa Lungongole kifungo cha miaka 30 Jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la 7 (jina limehifadhiwa) wa shule ya msingi Lungongole, kata ya Kibaoni wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.
Akitoa hukumu hiyo...
Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu Shule ya Msingi ya Green Acres ambapo Mwalimu Mkuu anadaiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.