daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  2. Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  3. Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  4. Ukraine wapiga daraja la Crimea kwa mzinga wa Storm Shadow

    Juzi Urusi waliomba Crimea isipigwe kwa "storm shadow", Ukraine leo wamepiga daraja kwa mzinga huo huo............... AUkrainian missile strike hit the bridge connecting Russian-held parts of the southern Kherson region with the annexed Crimea peninsula, officials said on Thursday. The attack...
  5. Kwa sasa yanga ni timu ya daraja la juu Afrika

    Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa wadhamini, viongozi, wadau, wachezaji, wanachama na mashabiki wa Wananchi Young Africans SC kwa mchakato, uwekezaji na mafanikio waliyoyavuna kwa misimu miwili mfululizo na kutwaa vikombe: Ngao ya jamii x2 Ubingwa wa ligi kuu NBC X2 Azam sports federation...
  6. Baada ya kujua Mbeya City FC wana Uyanga mwingi najitolea kufanya Fitna ili ifungwe na KMC FC na ishuke kabisa Daraja

    Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
  7. Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  8. E

    Mkataba DP World, Bandari ya Mangapwani, Daraja la Zanzibar: Miradi hii ina uhusiano?

    Zanzibari wana mpango wa kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa Mashariki. bandari hii haiwezekani kama Zanzibari haina mzigo wa kutosha. Mzigo wa Zanzibari peke yake hautoshi kujenga bandari kubwa Zanzibari. Lakini Zanzibari ikiwa na uhakika wa kuhudumia mizigo ya Tanzania bara pamoja na...
  9. J

    Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

    Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
  10. Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  11. Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  12. Mwanasoka wa kwanza katika historia ya uingereza kuipandisha timu yake kutoka madaraja ya chini kabisa mpaka daraja la juu.

    Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao. Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu...
  13. Kati ya Leeds Utd, Everton na Leicester City, timu zipi mbili hapo zitaungana na Southampton kushuka daraja?

    Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City. Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja. Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana...
  14. Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

  15. Marumo Gallants Yashuka Daraja!

    Hatimaye timu ya Marumo Gallants aka Bahlabani ba Ntwa wameshuka daraja baada ya hapo jana kufungwa bao 2 kwa sifuri na timu ya Swallows katika ligi ya Premium ya Afrika ya Kusini Itakumbukwa Malumo Gallants walitolewa na Yanga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la...
  16. Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

    Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi. Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
  17. Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  18. Songwe: Daraja la Mto Momba linalounganisha Songwe, Rukwa, Katavi na Malawi, na barabara ya Mpemba hadi Isongole 50Km yakamilika

    Serikali kupitia TANROADS Mkoani Songwe imekamilisha miradi mikubwa ya Kitaifa ya Barabara ikiwemo Daraja la Mto Momba ambalo limekuwa kiungo Muhimu kuunganisha Mikoa ya Songwe Rukwa na Katavi na barabara ya Mpemba hadi Isongole 50Km inayounganisha Tanzania, na Malawi. Akizungumza na Waandishi...
  19. Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

    Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha...
  20. 0

    Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…