dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

    1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri 2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine. 3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa. 4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo...
  2. JamiiForums Tanzania Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

    Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani? NB:Lina hitilafu...
  3. JamiiForums Tanzania Hotel ipi dar nzuri iliyoko mbezi beach kwa kufanya tafrija ndogo

    Ni hotel ipi dar nzuri ambayo unaweza fanya tafrija ya watu kama 30 hivi ambayo ipo maeneo ya mbezi beach
  4. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Lissu unaporomoka? Angalia umati aliohutubia jana Dar es salaam

    Jana wakili msomi Tundi Antipas Mughwai Lissu alikuwa na ziara Dar es salaam katika maeneo ya Mbopo ambayo yana mgogoro kati ya wananchi na Shirika la Maendeleo Dar es salaam (DDC). Mh. Lissu mwanzo wa hotuba yake aliwauliza wananchi waliofika kwamba, nyie ndio wakazi wa eneo hili pekee...
  5. JamiiForums Tanzania Hiki kibaridi cha Dar kilifaa weekend

    Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki. Kizuri sana kwa kufanyia mazoezi ya kutoka jasho hiki, hasa mkiwa wawili.
  6. JamiiForums Tanzania Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar. Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc Anachosema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa leo Dar

    Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa. Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid. Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana ku-enjoy Dodoma kama umepazoea Dar

    Starehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe. Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Manara amepotosha, Bandari ya Dar ilikuwepo siku zote, Mreno na Muarabu wameikuta

    Kuna upotoshaji mkubwa umefanywa na Manara ukishabikiwa na madalali wa kugawa bandari zetu kwa muarabu. Kuweka kumbukumbu za kihistoria sawa hapa JF nitaweka ufafanuzi kumjibu Manara. 1. Bandari ya Dar imekuwepo karne nyingi sana kabla ya wavamizi wageni kutoka sehemu mbali mbali duniani kuja...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  12. JamiiForums Tanzania List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

    Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the...
  13. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

    Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu; " Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu." Haji. Alichoandika...
  14. JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji Dar afikishwa Mahakamani kwa kutakatisha Tsh. Bilioni 8.9

    Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Alinanuswe Mwasasumbe (60) amefikishwa katika Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kughushi nyaraka, matumizi mabaya ya madaraka, kutakatisha fedha na kuisababishia hasara Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya...
  15. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Kubeti kwatajwa kuwa chanzo cha mauaji ya mwanamke Dar

    Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi). Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
  17. JamiiForums Tanzania Nimekuja kula iddi dar ila nilichokutanacho..

    Kama kichwa kinavyojieleza. Nimetoka kote arusha ili nije kula iddi dar . Ila tanesco wamezingua luku hazinunuliki kabisa,kwanini siku ya sikuku ndo mnafanyia watu hivi?? Ngoja nikapige bia zangu kitambaa cheupe,kama kuna mtu anataka bia za bure anakaribishwa.. Muwe 50 hata 100 mnakunywq mpaka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  19. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa taasisi ya Confucius katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania wajifunza utamaduni wa sikukuu ya Duanwu

    Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu. Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: NEMC na Chuo cha Polisi kushirikiana kuyalinda na kuyatunza mazingira

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) limekutana na Chuo cha Polisi Kurasini kujadiliana kuhusu elimu ya masuala ya Mazingira kwa wanafunzi wao na namna ya kushirikiana nao katika utekelezaji wa majukumu baina ya taasisi hizi (NEMC na Chuo cha Polisi) ili kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…