dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    SoC04 Safisha eneo lako Dar iwe safi

    SAFISHA ENEO LAKO DAR IWE SAFI Hapo zamani za kale ilijulikana kama mzizima ila kwa sasa hivi inaitwa Dar es salaam ni mkoa wa nchini ya Tanzania pia ni moja wapo la jiji la Tanzania, inawakazi wengi sana kuliko mkoa mwengine wowote Tanzania na ni mkoa mdogo kieneo ukilinganisha na mikoa...
  2. Tupeane connection ya machimbo yanayouza mchele, maharage njano soya combati, choroko, njugumawe, kunde hapa Dar

    Mimi mfanyabiashara wa duka ra rejareja nipo Dar mabibo, nahitaji maharage, choroko, kunde, njugu mawe, karanga kwa bei ya shamba. Kama upo mkoani ukileta mzigo Dar nitafute Namba 0788768480
  3. Bashungwa Aagiza Kukamatwa kwa Mkandarasi anayejenga Daraja la Mpiji Chini - Dar

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili...
  4. Zena is looking for a job as a housekeeper at your home, office, 5 star ⭐️ hotel or lodge: available immediately in Dar es Salaam.

    Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for various furnishings including wooden, leather, and velvet pieces, Zena ensures your space remains...
  5. Speech of Kalisha Holmes, Spokesperson from U.S. Embassy Dar es Salaam on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections

    Speech at MCT Stakeholders Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections Ladies and gentlemen, distinguished guests, I bring you greetings on behalf of Ambassador Michael Battle, the U.S. Ambassador to Tanzania on this special occasion. He sends his deep regrets that he...
  6. R

    Nabii J. Steven: Dar yapona ghadhabu ya Mungu, mafuriko yasitishwa

    Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama, Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi...
  7. Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
  8. D

    Line za MTN zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Nawezaje kupata kwa hapa Dar line za MTN for Rwanda, msaada
  9. A

    Viongozi wa kuwalaumu Kwa hasara za majengo Dar na Ufanisi wa Bandari ni hawa

    Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi alioacha Mwalimu ilikuwaje. Kuhusu Dodoma, Mwalimu aliacha Ofisi za Waziri Mkuu na Wizara...
  10. Dar es Salaam: Uzuri uliojificha vol.2

    Dar es Salaam Dar es Salaam Dar es Salaam, Jiji la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki. Limetajwa katika tungo za nyimbo kibao na wasanii wa kila kizazi.Jiji lenye mjumuiko wa makabila yote 126 napa nchini na watu wa mataifa mbalimbali. Lakini limekuwa likijulikana kama Jiji la kibiashara zaidi...
  11. Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Habari Ndugu wa Jf, Natumaini wazima nilikuwa naomba ushauri wa bizness nina 1millon naweza fanya biashara gani Dar es Salaam
  12. Zamani ukiwa unasafiri kwenda Dar hulali usiku

    Sijui shida ilikuwa nini yaani ukiwa unasafiri na bus haswa kwenda dar tuseme bus linaondoka saa 12 asubuhi basi usiku unapata mawenge usingizi hauji kabisa Ila siku hizi ukiwa na safari ya kesho saa 12 hupati mapepe wala wasiwasi wa kuachwa na gari unalala fresh tu hata ikibidi pombe...
  13. Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  14. Poleni sana ndugu zangu wa Dar es salaam kwa mvua zinazoendelea kunyesha

    Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya umeme kutatizika, shughuli za uzalishaji, biashara na huduma za usafirishaji kuzorota pakubwa ni...
  15. Y

    Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  16. Shule za Dar zifungwe kwa muda mpaka mvua zitakapokoma au kupungua

    Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi, japo yale madarasa ya chini la kwanza mpaka la nne. Hivi ninavyoandika hapa mvua imenyesha usiku...
  17. Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo.. Vipi maoni yako? Je...
  18. Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  19. P

    Dar, Posta mvua yaleta foleni

    Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji. Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
  20. Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…