dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. House4Sale Boko: New 4 Bedrooms House For Auction Sale - Dar

    • Direction: Basihaya, the road to Ununio, 600 meters off Bagamoyo Road • Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms, 1 car garage • Plot Area: 1,122 sqm • Document: Title deed • Forced Value: TSH 125 million . ✓ inauzwa na benki kwa mnada ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; sebule; dining; jiko na public...
  2. B

    Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

    Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao. Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
  3. Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa. Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana. Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya...
  4. Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

    Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote. Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi. Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola...
  5. M

    Ninunue kiwanja, Kibaha, Kigamboni ipi,au maeneo yapi mazuri kwa Dar buget15milioni

    Habar wakuu nahitaji kiwanja dar cha sqm800 kwa Dar maeneo yapi mazuri yamepangika vizur ambayo sio ushwahilini. Hiwe rahisi kwa mishe ya mjini buget yangu ni 15m
  6. Barabara za Dar zinafanana na za sehemu gani nyingine duniani?

    Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana. Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana. Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways. Kuna watu ukiwauliza watachekelea...
  7. Computer4Sale HP laptop inauzwa Dar es salaaam

    Laptop used lakini bado iko kwenye hali ya upya inauzwa bei nafuu Sana. Bei 850000/= maongezi yapo. Mawasiliano 0744220051 Iko Dar es Salaam
  8. Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  9. Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  10. S

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  11. DOKEZO Mchengerwa! Usiishie kutoa maelekezo tu kagua barabara zinazojengwa na TARURA hapo Dar ujionee vituko

    Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za hapo Dar. Barabara zinajengwa kwa design za karne ya 18 kwenye karne ya 21. Kuna barabara mpya...
  12. Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

    Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
  13. Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

    Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
  14. B

    Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  15. Tsh. Bilioni 290 kuimarisha Usimamizi wa Taka Ngumu katika Halmashauri za Dar

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase II), umepanga kutumia Tsh. bilioni 290 katika uimarishaji na usimamizi wa taka ngumu katika Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam. Mratibu wa Mradi wa Benki ya...
  16. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  17. Narudi Dar es salaam

    Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu, Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa. Tukutane kitambaa cheupe...
  18. Dawasa na mtambo wa Ruvu Juu ni mzimu unaowatesa wananchi wa Dar es salaam

    Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
  19. INAUZWA Kipawa: Commercial Property For Sale - Dar

    • Direction: Opposite JNI Airport, Nyerere/Pugu Road • Facilities: 3 frames, 1 warehouse • Plot Area: 590 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 320 million • Site visiting charge: TZS 30,000 . ✓ ipo kando ya barabara kubwa ya Nyerere zamani Pugu, mkabala na uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
  20. Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo hata watu wenye ajira za kuchomekea mashati na kuvaa viatu mchuchumio hawapati Nitaorodhesha baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…