dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Administrative and Consular Officer at Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam

    Job Opportunity: Administrative and Consular Officer – Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam (February 2025) The Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam has a vacant position for an Administrative and Consular Officer starting from early May 2025. The position will be part of the...
  2. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Sinza inaongoza kwa Wanawake wazuri Dar nzima

    Za alasiri wana jf, Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi. Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya utiaji saini wa miradi mitano muhimu inayolenga kuboresha huduma za jamii na...
  4. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  5. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki. Akizungumza Februari 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mita za maji ni janga jipya Dar na Pwani. Nani analipa fidia?

    Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena? Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje? Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji. Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu...
  7. JamiiForums Tanzania Aibu Chuo Kikuu Dar es Salaam kuajiri wahitimu kisiwalipe na kutowapa mikataba ya kazi

    Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bar Inapangishwa Dar

    Bar maarufu inapangishwa Dar ipo kando ya barabara kubwa (Main Road), jirani sana na Azam Complex, Chamazi. Bar ina majiko makubwa ya kisasa mawili, lodge, parking kubwa, ukumbi wa wazi na huduma zote muhimu. Kwa mawasiliano piga namba 0753300097 Bei ni maelewano.
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Habari wana Ndugu, Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama Mimi:Mambo Samahani Dada (Huku Nikiwa na Kiaibu cha Kuuliza Ofkoz Kuna Kiaibu fulani Ukiwa Unauliza ) Hivi Hapa Nikitaka...
  10. JamiiForums Tanzania Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

    Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini. Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada, mafunzo ya reik,pranic healing dar es salaam.

    Naomba msaada Kwa anaejua au kufahamu sehemu ninayoweza kupata mafunzo haya ya reik,pranic healing Kwa hapa dar es salaam naomba anisaidie.
  12. JamiiForums Tanzania Bunge labaini kusuasua kwa usafiri wa Mwendokasi Dar

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  14. JamiiForums Tanzania DESIGN AND BUILD SERVICES KARIBU TUKUTIMIZIE NYUMBA YA NDOTO YAKO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM +255624004650

    NUNUA VIFAA TUKUJENGEE WEW UKITULETEA VIFAA UNA RELAX TUNAKUKABIDHI KAZI YAKO CALL US TODAY 0624004650
  15. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  16. K

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

    Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wameiua Geneva ya Afrika.

    Kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Kongo kimefanyika leo jijini Dar es salaam. Si nia ya uzi huu kujadili maamuzi ya kikao hicho, bali kuangalia faida zitokanazo na kikao hicho. Kama nchi lazima tuangalie faida tunazozipata na hasara zake! Kama sikosei vikao vyote vya usuluhishi wa Burundi...
  18. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kipawa: 1,764 Sqm Industrial Plot For Sale - Dar

    • Direction: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  19. JamiiForums Tanzania Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

    Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha! Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

    Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…