dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BM wamefuta utawala wa mabasi ya Kilimanjaro kwa ruti ya Dar - Arusha

    Zamani kwa ruti ya Dar Arusha ilitawaliwa na Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro chini ya Mkurugenzi Sawaya. Siku hizi naona makampuni ni mengi na Kilimanjaro Bus ni kama utawala wake umefika mwisho. Kampuni kama BM anatoa mabasi mengi kwa siku, naona utawala wa Mzee Sawaya unaenda mwisho huko...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

    Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fahdu Davis umenikera sana leo, safari ya kurud Dar naiona ndefu sana

    Uongozi umefanya kila jitihada, mambo yote yanayotakiwa kufanyika yalifanyika lakn wewe ndio umeharibu kila kitu, kazi yako ilikuwa kulalamika tu uwanjani bila solutions Hongera sana kwa kuivusha kisayansi Stellenbosch
  4. JamiiForums Tanzania Mwigizaji Carina azikwa makaburi ya Kisutu, Dar

    Aliyekuwa mwigizaji wa Filamu nchini marehemu Hawa Hussein (Carina), amezikwa leo Aprili 19, 2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Carina alifariki dunia Aprili 15, 2025 nchini India alikoenda kupatiwa matibabu ya tumbo ambalo limemsumbua kwa zaidi ya miaka saba, huku akifanyiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  6. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo ukikaa hapa Dar utaonekana ni wa hovyo

    Kuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313] 1.Mbagala 2.Tandale 3.Manzese 4.Kigogo 5.Vingunguti Nyingine mnaweza kuongezea, haya maeneo ukisema...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa BAVICHA amshangaa Kamanda wa polisi Dar Jumanne Murilo!

    Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu. Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
  8. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa fukwe ya Kigamboni

    One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni -It has six bedrooms all en-suite, sitting room, dining room, kitchen, store and public toilet. -There is a lift and Swimming pool - Servant Quarter with one bedroom, sitting room and public toilet -Plot size Sqmtrs 1,960 -Document...
  10. JamiiForums Tanzania Radio za Dar hazisikiki Tabora. Kunani?

    Ilianza Wasafi FM 94.5 tokea mwaka jana, ikaja East Africa Radio 105.2 hii yapata kama mwezi hivi, imefuatiwa na Clouds FM 88.0 na E FM 93.7 hizi ni wiki hii na inayokatakata kwa sasa ni Radio Maria 93.7. Radio Free Africa ya Mwanza 90.0 yenyewe mvua ikinyesha tu inapotea, sijui mtambo wake...
  11. JamiiForums Tanzania RC Chalamila kuwalipia nauli wana Dar Es Salaam 200 kushiriki betika Mbeya Tulia Marathon

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
  12. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauza nusu Heka - Dar es salaam - Bunju A

    Habari . Kiwanja kinauza takribani nusu heka kipo Dar es salaam -wilaya kinondoni -Bunju A karibu na Sarafia school. Price - 95m maongezi yapo -kutoka bagamoyo road mpaka site NI DK 10 Tu ( mtaa WA madoctor ) Full document zipo ukitaka kupaona anytime nipo apa Bunju WhatsApp / call 0715160365
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ule ushamba wa kutofika Dar es Salaam bado upo, kwa Tanzania wengi

    Ndio ni kweli , wewe huwezi kujiita mtanzania mjanja kama hujafika Dar, nimetembea mikoa mingi sana nchi hii, na nilichogundua bado watanzania wengi sana hawajafika Dar. Ni vizuri hata Kwa watu wa Dar kufika nchi za nje ama jirani, hivyo bado washamba wa kutofika dar ni wengi Na hivi Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba munieleweshe kuhusu usajili wa gari Dar es Salaam

    Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
  16. JamiiForums Tanzania Nyumba mpya inauzwa, bahari beach Dar es salaam

    Gorofa la kumalizia linauzwa ni nzur sana”” Lina vyumba vitano master Ukumbwa wa kiwanja ni square mitter 1200” Price million 500” maongez yapooo Kuna hat miliki Locationbahar beach 🇹🇿call/whatsapp +255758844717
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo kwa Dar es Salaam wanapofundisha mafunzo ya karate!

    Habarini wanaJamiiForums! Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami? Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe. Nitashukuru sana. Regards Amadi!
  18. JamiiForums Tanzania Chemba zilizokuwa zikitiririsha majitaka barabarani maeneo ya Posta (Dar) zimerekebishwa

    Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa zimefumuka. Inadaiwa kuna maafisa wa Mamlaka ya Serikali wamefika na kutengeneza miundombinu iliyokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Battle:Nairobi university vs Dar es salaam university

    Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo. Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa Ila kwa leo tuangalie ubora wa Taaluma na wataalamu wanaopikwa katika vyuo hivi vya Nairobi na Dar es Salaam. Pia tutaangalia...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…