Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Habari .
Kiwanja kinauza takribani nusu heka kipo Dar es salaam -wilaya kinondoni -Bunju A karibu na Sarafia school.
Price - 95m maongezi yapo
-kutoka bagamoyo road mpaka site NI DK 10 Tu ( mtaa WA madoctor )
Full document zipo ukitaka kupaona anytime nipo apa Bunju
WhatsApp / call 0715160365
Ndio ni kweli , wewe huwezi kujiita mtanzania mjanja kama hujafika Dar, nimetembea mikoa mingi sana nchi hii, na nilichogundua bado watanzania wengi sana hawajafika Dar.
Ni vizuri hata Kwa watu wa Dar kufika nchi za nje ama jirani, hivyo bado washamba wa kutofika dar ni wengi
Na hivi Sasa...
Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA...
Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
Gorofa la kumalizia
linauzwa ni nzur sana””
Lina vyumba vitano
master
Ukumbwa wa kiwanja
ni square mitter 1200”
Price million 500”
maongez yapooo
Kuna hat miliki
Locationbahar beach
🇹🇿call/whatsapp +255758844717
Habarini wanaJamiiForums!
Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami?
Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe.
Nitashukuru sana.
Regards
Amadi!
Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa zimefumuka.
Inadaiwa kuna maafisa wa Mamlaka ya Serikali wamefika na kutengeneza miundombinu iliyokuwa...
Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo.
Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa
Ila kwa leo tuangalie ubora wa Taaluma na wataalamu wanaopikwa katika vyuo hivi vya Nairobi na Dar es Salaam.
Pia tutaangalia...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma.
Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu.
Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
Wenyeji wa Zanzibar ni hasa watu wa kabila la Wazanzibari, lakini hili si kabila kwa maana ya kijadi kama ilivyo kwa Wachaga au Wanyakyusa, bali ni utambulisho wa watu wa visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba), ambao kwa kiasi kikubwa ni mchanganyiko wa makabila na tamaduni mbalimbali kutokana na...
Daraja la Mto Matandu likiwa limekatika tena leo, Jumatatu Aprili 7, 2025, baada ya mwaka jana kukatika kufuatia mvua za El Nino zilizoambatana na kimbunga Hidaya. Pia, daraja la Somanga Mtama limekatika na kukata mawasiliano kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini.
SOURCE: Mwananchi Digital...
Kichwa cha habari chahusika.
-Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kufunga mahesabu kitaalam,anayejua kutumia accounting packages na kila kinachohusiana na uhasibu kimatendo ( practically)
-Awe anaishi dar
-Mwanafunzi ni mhitimu wa chuo anahitaji kujibrush kuhusu uhasibu kimatendo/kiuhalisia...
Habari wakuu
Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT
Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana
Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
Hapa ni roundabout ya kawe hadi karibu na njia ya ilipokuwa triple 7... Mvua kidogo tu hali imekuwa hivi...
Barabara nyingine hazina mitaro, nyingine mitaro imeziba. Sijui huwa wanazingatia nini wanapojenga hii miundombinu, wawawazi hali tofautitofauti za hewa.
Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo.
Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
1. Taa Za barabarani haziwaki maeneo mengi nyeti zimebaki kama mapambo. Pamoja na Chalamila kutangaza biashara Kariakoo 24/7 bado mitaa mingi kariakoo na Posta hakuna taa za barabarani na zilizopo nyingi haziwaki. Jiji ni giza tu.
2. Mitaa mingi kuna mrundikano wa taka barabarani zinakaa mpaka...
Hellow
Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo
Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina...