dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Epson L3210 onauzwa dar

    Epson hata nimeitumia kidogo sana kwa matumizi ya ndani ina wino ndani haujatumika hata asilimia 90 na bado chupa nyeusi nyingine imejaa. Bei 350000 tunazungumza.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa: – KG 1 hadi Advance Level – NECTA, Cambridge & International Curriculum – Home Schooling, Special...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba cha kulala siku 15-20 kwa Dar ninayo laki moja mfukoni

    Habari zenu wanajukwaa Kuna mdau anahitaji chumba cha kulala kwa hizo siku. Dar es salaam mabibo pawe karibu na chuo cha Nit itapendeza. Siku kuanzia 13/14 July mpaka 25/26 july Namba ya mhusika ni pm Kama unapo mahala pa kulala. Kulala ,kuoga na kujisaidia basi hakuna kingine. Yupo...
  4. JamiiForums Tanzania Bus gani ni zuri kwa safari ya Dar kuelekea Tunduru

    Habari ndugu Wana Jamii Foram. Kwa wale Wenye uelewa wa safari za Kutoka Dar Kuelekea Tunduru. Ni Bus Gani ziko Vizuri kwa Safari Kuelekea huko naomba Mnifahamishe.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi paka Dar wana shida gani? Yaani paka anakimbizwa na panya?

    Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona. Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona ● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge ● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia ● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu ● Maduka...
  7. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar bana!

    Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto. Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
  9. JamiiForums Tanzania House4Rent Kariakoo: 1st Floor 2 Bedrooms Apartment For Rent - Dar

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  10. JamiiForums Tanzania Ila watu wa Dar mnakula nini hizi?

    Watu wa Dar, hizi nazo mnakula?
  11. JamiiForums Tanzania NATABIRI: Hema la Mwamposa la Dar (Kawe) litageuka kuwa gofu kama lile hema lake kule Moshi (Memorial)

    Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania. Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika...
  12. JamiiForums Tanzania Dar es salaam kuwa kitovu cha bidhaa za refurbished

    Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size...
  13. JamiiForums Tanzania Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

    Vinginevyo ni story.
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Geofrey Timoth achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia CCM

    Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  18. JamiiForums Tanzania Nini kimetokea kwa Air Tanzania TC800, Dar - Kinshasa?

    Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300, Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi, Kuna shida gani? Je, inadharura? Jamiicheki tusaidieni tujue.
  19. JamiiForums Tanzania Usafiri DAR mgumu, tunalipa nauli ya kugeuka na kusafiri kwa wakati mmoja, mamlaka Zinajua?

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Usafiri Kijiji la dsm ni mbaya sana. Ukitaka kupata nafasi kwenye daladala utalazimika kupanda daladala linalokwenda mwisho wa gari kisha ugeuze nalo kwenda safari Yako unakotaka kwenda. Kote huko lazima ulipe nauli ya kwenda kugeuka nalo na ile ya unakokwenda...
  20. JamiiForums Tanzania TARURA Dar yaendelea na ujenzi wa miundombinu ya barabara iliyosimama kutokana na mvua

    Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Geofrey...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…