dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

    Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki. Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu, Dar es salam leo Oktoba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022 Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni kwenye kazi hii, umejifunza mengi ukiwa nje. Nimeona uje unisaidie. TAMISEMI ni ileile uliyoiacha...
  5. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Internet cafe yenye speed kwa Dar?

    Habari, nipo dar na nilikua nahitaji huduma ya internet , kwenye internet cafe ila iwe na speed nzuri na mazingira yawe mazuri.. 20mbps to 100mbps. Asante
  6. JamiiForums Tanzania Duka gani Dar naweza pata foldable table and chair kama hivi?

    Nahitaji sana foldable chair and table kama hivyo hapo kwenye picha viwe vya watu 4 na zaid. Nimetafuta kwenyw maduka ya furniture bila mafanikio
  7. JamiiForums Tanzania Wanaotumia Gesi kwenye magari wakosa huduma siku 5

    Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wako njia panda kwa siku ya SIku 5 sasa baada ya kukosa huduma hiyo tangu mwishoni mwa wiki iliyopita. Uchunguzi umebaini kuwa mashine ya mgandamizo inayotumika kujaza gesi katika magari imepata hitilafu.
  8. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuiba kwenye ofisi za Betting Dar wafariki dunia

    Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi. Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 85% of young Tanzanian men in Dar are broke.

    This is depressing considering Dar is the economic capital of Tanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

    Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu? Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
  12. JamiiForums Tanzania Wawili wanusurika kifo wakijaribu kupora duka Dar

    Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge. Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi: Walioibiwa mali zao Dar wajitokeze vituoni kuzitambua

    Jeshi la Polisi limewataka wananchi walioibiwa mali zao kujitokeza katika vituo vya polisi ili kuzitambua. Wito huo imetolewa ikiwa ni siku chache tangu kuibuka kwa matukio ya uvamizi wa kutumia silaha za jadi, kisha kujeruhi na kupora vitu mbalimbali nyakati za usiku yanayokwenda sambamba na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

    "Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini. Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa. Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  17. JamiiForums Tanzania Kifo Cha Balozi Paul Rupia: Dar es Salaam Tumefiwa

    KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe matukio au iwe taazia. Naitazama taazia ya Balozi Paul Rupia baada ya kumaliza kuisoma na kuna kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Naishukuru sana JF wadau na CCBRT Dar es Salaam

    Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za mawasiliano ya moja kwa moja na CCBRT naaza safari kesho mimi na mke wangu bure kabsa kwa mama na...
  19. JamiiForums Tanzania Semina ya SOS Children’s Villages na REPSSI yawa kivutio kwa Polisi Dar

    Semina ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili kwa Askari Polisi inayoendelea Jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Taasisi ya SOS Children’s Villages kwa kushirikiana na REPSSI imekuwa kivutio kwa Askari Polisi Washiriki kutokana na mada mbalimbali ikiwemo namna ya kumsikiliza mtoto mwenye msongo...
  20. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…