Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo
Bas...