Damu hadi Teknolojia -COBALT

Damu hadi Teknolojia -COBALT

Patrice Diounis

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
993
Reaction score
2,070
FB_IMG_17049270128264400.jpg
Naona wengi hapo mlipo mnahofia Betri kuisha sio ?

ila tambua kuna watoto wadogo umri hadi miaka 6 wanachohofia ni kifusi kuwaangukia wanapokuwa kwenye machimbo yanayosababisha hapo ulipo uhofie betri kuisha.

Bado unahofia betri kuisha ?

Najua unainjoi life kwa kuslide kidole na kugusa gusa kioo ila jua nyuma ya teknolojia iliyo kiganjani kwako kuna nafsi na damu za watoto wadogo wengi zina dondoka kwa ujira usiozidi 5000.

Piga hesabu gharama ya Iphone unayonunua na vifaa vingine vya kidijitali.

Hutakaa uwasikie wamiliki wa makampuni makubwa ambao maisha ya watoto hawa wanaofanya kazi kwenye mazingira hatarishi yanajenga daraja la faida kwenye teknolojia zao.
Google, Apple, Nvidia, Microsoft.

Utawasikia wakiimba na kuanzia project okoa dunia ila sio ya mtoto wa kikongo huko mashimoni.
 
Inasikitisha sana, ila tukome kuzaa na kuzalisha .

Inauma sana sana sema ndio tushajikuta kwenye mfumo....watoto wangu msioe wala kutia mimbaaa.
Ikiwa ndio hivi bora damu yangu ikome kuwepo duniani😪
 
Umeusoma uzi ukauelewa?
Au umekurupuka tu?
Najua kusoma kwa ufahamu.
Nimekujibu wewe unaokebehi wazungu wakati 98% ya vitu unavyotumia vinatoka kwao.

Hao watoto huko congo wanaochimba hizo cobalt ni kutokana na umasikini wa afrika na si vinginevyo .
Umasikini wenyewe umeletwa na fikra duni za viongozi na waafrika wenyewe.
 
Huna akili wewe,umekuja umejikoki kama Dada poa,
wapi mimi nimekebehi? Mbona unakua mjinga uliyepitiliza?

Haya kaa pembeni sasa coz hata ukifahamishwa hapa sidhani hata kama utaelewa,haya nenda kwa hao wazungu wakakuinamishe.
 
Una experience kubwa ya madada poa hongera.
Huoni ulipokebehi , kumbe unaandika vitu ambavyo hujui umeandika nini.

Utanifahamisha nini unaonekana mtu mzima mwenye akili ya mtoto.
Chuki zako kwao hazitasaidia chochote. Ukishindwa hoja ndio unakimbilia kwenye mawazo ya kuinama sio.

Hakuna kiwanda Cha kimataifa chochote kinachoajiri watoto wachimbe cobalt wala kutoa ajira kwa watoto.
Cobalt inayochibwa na watoto ni maeneo yasiyo rasmi.

Wewe mbumbumbu usiyejua kusoma kwa ufahamu ukakurupuka na reply yako :
"Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"

Wazungu wanahusika vipi na hao watoto kuchimba cobalt?
 
Hako ni tule tuvijana maskini hatuna elimu tumeamua maisha yao magumu kuwalaumu wazungu. Wapo watoto wadogo sana sehemu wanachimba na kuponda kokoto. Hizo kokoto hazivuki hata Mkoa. Atakuja sema wazungu ndo wanasababisha. Wapo watoto wanajiuza. Atasema wazungu wanasababisha. Tumefundishwa hivyo kwa muda mrefu sana
 
Mleta mada anatupia lawama makampuni makubwa ya simu as if yao ndio chanzo Cha watoto hawa kuchimba cobalt.

Chanzo Cha watoto hawa kuchimba cobalt ni UMASKINI , UFISADI NA UDHAIFU WA SERIKALI YA CONGO au AFRIKA KWA UJUMLA.

Acha kutupia lawama kwa watu wengine tatizo ni afrika na mifumo yake.

Hio cobalt ingekua inachibwa ulaya huko kesi za watoto kuchimba cobalt zisingekuepo kabisa
 
Una experience kubwa ya madada poa hongera.
Huoni ulipokebehi , kumbe unaandika vitu ambavyo hujui umeandika nini.

Utanifahamisha nini unaonekana mtu mzima mwenye akili ya mtoto.
Chuki zako kwao hazitasaidia chochote. Ukishindwa hoja ndio unakimbilia kwenye mawazo ya kuinama sio.

Hakuna kiwanda Cha kimataifa chochote kinachoajiri watoto wachimbe cobalt wala kutoa ajira kwa watoto.
Cobalt inayochibwa na watoto ni maeneo yasiyo rasmi.

Wewe mbumbumbu usiyejua kusoma kwa ufahamu ukakurupuka na reply yako :
"Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"

Wazungu wanahusika vipi na hao watoto kuchimba cobalt?
Watu kama wewe mpo mpo tu hapa Duniani ili tu kuijaza Dunia tu,ukisikia mzungu unaona ni kama vile ametajwa Mungu wako,yani kusikia tu mzungu kasemwa ukaja mbio na kuanza kuandika haya matapishi yako hapa,

Mashirika ya kutetea haki za watoto na haki za binadamu yalisha toa report kuhusu watoto kutumikishwa huko Congo na makampuni ya wazungu,yalisha toa report kuhusu watoto wanaotumikishwa kwenye mashamba ya Cocoa huko Ghana,

Hivi wewe kwani unaishi Pori gani? Au umeolewa na mzungu ndio maana unatokwa povu kama mgonjwa wa kifafa kisa katajwa mzungu?
 
Wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri na kusoma kwa ufahamu. Mleta mada amelalamikia makampuni makubwa kwa kosa lisilokua lao.
Wewe ukakurupuka kwa chuki zako kwa wazungu maana hata mada hukuielewa , nikakuuliza swali dogo tu wazungu wanahusika vipi na watoto kufanya hizo kazi za cobalt? Wanawakamata na kuwafanyisha kazi?

Mashirika ya kimataifa kama Amnesty na UNICEF bado ni wazungu hao hao. Amnesty ilishatoa ripoti na kuhimiza uwajibikaji wa serikali ya congo maana wao ndio chanzo kikuu cha haya yote .

Hio cocoa ya Ghana tatizo linabaki palepale ni serikali ya Ghana na sio makampuni makubwa ya cocoa , sababu unauelewa mdogo kama wa sisimizi huwezi kutambua Hilo .

Hakuna sehemu yoyote haya makampuni yanatumikisha watoto wala kutoa ajira kwa watoto .

Wewe mbona ni jitu kubwa lakini umeamua kutumia viungo vingine kufikiri badala ya akili yako.
 
Nyie mabinti mnakuaga na ubishi wa kijinga sana,hili gazeti uliloandika hapa halina hata point moja zaidi ya matapishi tu,basi hapo mwenyewe unajiona ni bonge la mchambuzi,

Ndio maana toka mwanzo nilikwambia kua hujaielewa mada,

Kwani wewe Dada umeolewa na mzungu? Mbona unajidhalilisha kiasi hiki na kuandika pumba isiyoeleweka?

Hebu tumia hata hiyo simu yako kupata maarifa japo kidogo tu.

Hebu jisomee hapa makampuni makubwa yalifunguliwa kesi ya Child labour.

Nyie mabinti mnakuaga na ubishi wa kijinga sana,hili gazeti uliloandika hapa halina hata point moja zaidi ya matapishi tu,basi hapo mwenyewe unajiona ni bonge la mchambuzi,

Ndio maana toka mwanzo nilikwambia kua hujaielewa mada,

Kwani wewe Dada umeolewa na mzungu? Mbona unajidhalilisha kiasi hiki na kuandika pumba isiyoeleweka?

Hebu tumia hata hiyo simu yako kupata maarifa japo kidogo tu.
Wewe huna akili ngoja nikuache.
Quick temper, Slow mind.
 
Kuna wale washabikia siasa humu utawasikia na kauli yao "Mungu wabariki wazungu"

Watu kama hawa,hata hawajui Dunia inavyokwenda.
Wewe unayejua dunia inakokwenda tuambie inakwenda wapi na hasara ni zipi kwa wasiojua inakokwenda
 
Waafrika bado tuna changamoto za akili ukienda kwenye migodi hiyo ukweli watoto na watu masikini ndio wachimbaji ila huwezi kuta wazungu uko tupo wenyewe weusi ka weusi tunatesana kama watumwa
 
Hakuna wa kusaidia..si mlitaka uhuru ili mje mjitese wenyewe kwa wenyewe..let it be..
Wewe unaambiwa Mafuta yanashuka bei huko Dunia huku kwetu yapo buku nne..
Umeme kuna bonge la Bwawa lakini kaangalie bei za unit,,,,,,UCHAWI NA ROHO MBAYA ni sisi
 
Wewe huna akili ngoja nikuache.
Quick temper, Slow mind.
Naona baada ya kukupa hiyo link umejiona jinsi ulivyo mpumbavu,acha maneno ya bure,kila kitu ulichokua unabisha hapa kipo hapo kwenye hiyo link,

Siku nyingine uache kukurupuka,huniachi mimi bali unajiacha wewe,ulitakiwa ujibu hizo tuhuma za GICJ kwa hayo makampuni,

Sijui hata unaishi kwenye pori gani wewe,hujui hata Dunia inaendaje.
 
85% ya migodi ya wazungu afrika haina watoto sabubu inataka wasomi,mitambo na yenye technology za kisasa,migodi yote yenye watoto na watumwa 95% inamilikiwa na vikundi vya wahasi,magenge ya wahuni wazawa wenye uhusiano na serikali za nchi zao so GOOGLE,NAVIDIA,HUAWEI,APPLE na wengine wao hununua wala hawapoli watu madini hayo wala hawatumikishi watu wala watoto (UZEMBE WA VIONGOZI WETU,UBINAFSI WA VIONGOZI,TAMAA NK NDIO CHANZO NA SIO MAKAMPUNI)
 
Back
Top Bottom