daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

    Wakuu kwema? Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her. Leo nimemtafuna tayari. Asanteni
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

    Tanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe 14/10/2020 katika Taasisi ya MOI. Apumzike kwa Amani Kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Kwa Ufupi Daktari Bingwa Wetu Wa Leo Kutoka Taasisi ya MOI

    Tutakuwa tunawaletea kwa ufupi taarifa za Madaktari bingwa wa Taasisi mbalimbali nchiniza Tiba tukianza na MOI
  4. JamiiForums Tanzania Daktari: Wapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine

    DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu. 5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi. 6. Anakosa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

    Habari wakuu, Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo? Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
  8. JamiiForums Tanzania Daktari wa Kanumba ni Imposter?

    Wana body, Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na kumfanya ni daktari wake! Japo bado sijafanya search yoyote kuestablish authenticity ya udakitari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…