Alikuwa ni rafiki yangu, akimhoji mchumba wake,
Lahaula!,
Rafiki, Eti bidada unapenda chakula na vinywaji gani ?
Bidada akasema anapenda ugali dagaa na soda ya mirinda nyeusi.
Dah! Rafiki akashindwa kuendelea mbele kwa kushangaa sana mara bidada akamuuliza vipi?
Jamaa akasema hamna shida...