Wakuu!
Nimekuwa nikisikia kuhusu dhana hii inayotokana na changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza hasa katika Uchaguzi, ambapo baadhi ya Wananchi wamekuwa wakikumbwa na kero ya kutoona majina yao katika orodha ya Wapiga Kura na kuwakwamisha Kupiga Kura.
Hali hii iliwafanya baadhi kususia...
Wakuu
====
Ivi kwanini wananchi wanajiandikisha zaidi ya mara moja katika daftari la kudumu la wapiga kura ni kwamba elimu ni ndogo au wametumwa kufanya hivyo kwa nia kupiga mara 2?
Mkurugenzi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania Ndg. Ramadhan Kailima...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Vyuo vya Mafunzo kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kisiwani Unguja, Zanzibar leo...
Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa.
Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari.
Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako.
Ni kweli tunatakata...
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili kutekeleza haki yao ya kikatiba.
Aidha, amezitaka mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kufanyia...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
Jiunge nasi sasa katika mjadala wa Tathmini ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Changamoto na Maboresho, ambapo unaweza kushiriki uzoefu wako, kutoa maoni, na kupendekeza maboresho kwa zoezi lijalo, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya: https://jamii.app/SpaceMarch22...
Akitoa maoni kuhusu mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini unaoendelea Dar es Salaa, Msanii wa Bongo Fleva, Joh Makini amesema:
Ni haki ya Msingi ya Mwananchi aliyetimiza vigezo, kama hutajiandikisha utakuwa unawapa nafasi wengine wakufanyie maamuzi, wewe...
Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Ubungo wa kuwazuia wananchi kujiandikikisha kwenye daftari la uchaguzi kuwa ni kampeni ya hovyo ya...
“Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza. Ikiwa hivyo kwamba mapenzi ya yule anayetanganza ndiyo uamuzi, wananchi wana haja gani ya kuja...
Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Tanzania ni nchi ngumu sana kuishi kwa watu wanaojielewa yaani ukitafuta majina ya walioitwa kwenye usaili wa uboreshaji wa daftari la wapiga KURA mwaka huu kwenye website nyingi za halmashauri mbalimbali nchini utakutana tu na barua ya watu kuitwa kwenye interview tu na
Hautokuta pdf yenye...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura.
Soma Pia: Kusini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025
Zainab ametoa wito huo leo Februari 9, 2025...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
Wanabodi,
Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk tarehe...
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya kwanza zoezi litakaloanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu.
Hayo yamesemwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.