dada zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

    Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
  2. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi: Kabla ya kuoa, dada zetu na mama zetu wanayapokeaje mawazo ya sisi kutaka kuoa?

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku! . . niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?. . . binafsi mimi ni kijana wa miaka 30 kwa sasa, nina mchumba tayari, lakini imekuwa kila nikisema nyumbani hata kwa...
  3. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad. Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi...
Back
Top Bottom