dada poa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wateja wa mahakama a.k.a dada poa piteni hapa kuna jambo

    Moja kwa Moja kwenye maada. Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba. Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili ni la kwangu linalonipa burudani wazungu wanasema "my personal affair" OBSERVATION: Kuna katabia ka...
  2. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

    Ukisikia mwezi wa shetani, Basi Ndo huu mwezi Machi na mwezi April. Yaan Hii miez Ni mwendo wa migogoro TU kila kukicha na Mchepuko wang mamaJ. Likibanduka hili linaibuka jingine. Kama mnavokumbuka kipind Cha nyuma nilishamuandaa kua akivunja Kikoba chake, kile Kias chochote atakachokua...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  5. Scolari

    JamiiForums Tanzania Jana nimeacha rasmi kununua dada poa

    Wakuu natumaini tuko salama na shughuli za kila siku Usichoke kusoma.... Niliwaza kuja na ID mpya ila nikakataa sababu wanaonifahamu ni wawili tu hapa na tulifahamiana hapahapa Kitambo nilikua na date wadada kama kawaida nikawa naleta mapenzi ya filipino hapa tanzania nikakutana na muirak na...
  6. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliowahi kuibiwa na ma dada poa au malaya tukutane hapa

    NDUGU ZANGU... Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya) nimejikuta niko kaunti ya kisumu.nimekaa katika kaunti tangu tareh 20 mwezi wa saba,nimeondoka juzi tareh...
  7. Mkemia kay

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

    Nikiwa ni kijana mdogo nasoma kijijini kwetu nilikuwa nikisikia habari kwamba mjini kuna wanawake wanajiuza, sikuweza kuelewa kulingana na mazingira niliyokuwa nikiishi, nilitamani siku moja niwaone nipate uhakika na kwa mara ya kwanza nimefika mjini ilikuwa jiji la mwanza nilimuomba mwenyeji...
Back
Top Bottom