cyprian musiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Nashauri Musiba apewe PHD ya unafiki. Nimesikitishwa sana na video hii

    Wakuu Kumbe Musiba alikuwa this critical of Lissu? Yaani how can a man be this petty? Hapa Musiba alikuwa anajiona ni msaidizi wa Rais na hakuna mtu anaweza kumgusa kwenye nchi hii. Naomba ninukuu alichokisema kuhusu Lissu kwenye video hii miaka michache nyuma "Tundu Lissu akienda na...
  2. Heparin

    PostGE2025 Cyprian Musiba: Kwa nilichokiona kwenye Uchaguzi Mkuu, Madai yote ya Tundu Lissu na CHADEMA ni sahihi

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba, ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kuwa malalamiko yote ambayo yamekuwa yakitolewa na Tundu Lissu pamoja na chama cha CHADEMA ni ya kweli, akisisitiza kuwa mfumo wa sasa wa kikatiba unatoa...
  3. Erythrocyte

    GE2025 Baada ya kutemwa ubunge CCM, Cyprian Musiba akimbilia ACT Wazalendo

    ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo. Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura...
  4. Waufukweni

    GE2025 Musiba: Wajibu wa Kiongozi ni kutenda mema kwa Raia wake, kusikiliza na kutatua shida zao

    Mwanaharakati huru na mwanachama wa CCM, Cyprian Musiba, amesema "Wajibu wa Kiongozi ni kutenda mema kwa Raia wake, kusikiliza na kutatua shida zao"
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Musiba: Mimi nilikuwa na ndoto ya kuwasidia wananchi Mwibara lakini naona inapotea

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutupwa katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara amejitokeza na kusema alikuwa na ndoto ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Mwibara Soma Pia: Cyprian Musiba atupwa nje mchujo Ubunge Mwibara
  6. Waufukweni

    GE2025 Cyprian Musiba: Ndani ya CCM lazima wawepo wanaokosoa, hamuwezi wote kuwa Chawa

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, akizungumza kupitia Jambo TV amesema, "Ndani ya Chama Cha Mapinduzi lazima kuwe na Wanakosa, hamuwezi wote kuwa Chawa, sasa kitakuwa ni Chama hicho? Kwamba asilimia 99 uwe Chawa wewe ndio uwe Chama Cha Mapinduzi?
  7. PAYE

    GE2025 Cyprian Musiba atupwa nje mchujo Ubunge Mwibara

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba ameshindwa kupenya katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara, mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Cyprian Musiba: Yanga msicheze dabi, TFF inaongoza kwa upendeleo

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amesema Klabu ya Yanga inapaswa kusimamia msimamo wake wa kutocheza mechi ya watani wa jadi dhidi ya Simba, iliyopangwa kufanyika Juni 15, 2025. Akizungumza leo Mei 6, 2025, jijini Dodoma, Musiba amesema Serikali haipaswi kukaa kimya huku viongozi wa soka...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Cyprian Musiba ashangazwa na Viongozi wa Upinzani wanaodai hakuna maendeleo kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, ameonyesha kushangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa upinzani wanaodai kuwa hakuna maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo, Machi 27, 2025, Musiba amesema kauli hizo siyo tu kwamba ni za...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Cyprian Musiba Aishauri Chadema Kuweka Mkazo kwenye Changamoto za Wananchi Badala ya Kuzuia Uchaguzi

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekeza juhudi zake katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, kama vile umaskini na mfumuko wa bei, badala ya kuendelea kusisitiza ajenda ya kuzuia uchaguzi, ambayo anaamini haitaweza...
  11. McLaren

    PreGE2025 Cyprian Musiba: Taasisi ya Global Watch ya Malawi imeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa asilimia 91. Lissu ni watu 2 kati ya 10

    Tanzania ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuwa tafiti zinaonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), anaungwa mkono kwa asilimia 91 katika...
  12. McLaren

    PreGE2025 Cyprian Musiba: Wasanii tumieni nguvu kubwa kutangazwa mazuri ya Rais Samia

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amewataka wasanii wa Tanzania kutumia ushawishi wao kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma tarehe 3 Machi 2025...
  13. F

    Cyprian Musiba aendelea kuwawashia moto CCM.

    Cyprian Musiba akipata kuwa mshirika mkubwa wa propaganda za Magufuli akimiliki vyombo vya habari kama vile magazeti vilivyokuwa vikimpigia debe Magufuli. Leo Musiba amegeuka kuwa mwiba kwa serkali ya CCM. Asema CCM wanategemea wasanii lakini hata hivyo watu wanawapuuzia na kufuatilia mambo ya...
  14. Cannabis

    Cyprian Musiba amuunga mkono Mbowe asema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wamepokea hela kutoka CCM akiwemo Heche, Lema, Wenje na Lissu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanaoomba kila siku kuwa CCM iendelee kubaki madarakani. Musiba amesema kuwa viongozi wa...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Musiba alihoji Sarungi na Kabendera wangekuwa Rwanda au Uganda wangeachwa waichafue serikali? Maneno yake yamefanyiwa kazi?

    Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za kuchafua na kuharibu taswira ya nchi yetu, ambapo kuna makachero wanaoshirikiana nao ili kukamilisha...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  17. Waufukweni

    Cyprian Musiba: Mpina anatekeleza Ilani ya CCM, kuna wahuni ndani ya CCM na serikali

    Mwanaharakati Cyprian Musiba amedai kuwa kuna watu wasiokuwa na nia njema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, akiwataja kama "wahuni." Musiba ameongeza kuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amejitokeza kama mkosoaji ndani ya Serikali, akisisitiza kuwa si lazima wakosoaji wote watoke...
  18. Influenza

    Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  19. Nigrastratatract nerve

    Ni muda sasa wa Cyprian Musiba Majula ameshinda, uovu ukimya wake umeshinda

    Musiba aliowatuhumu woote kwamba wanamhujumu Magufuli kwa kutaka kumpindua Magufuli na serikali yake alitwezwa na kubagazwa Sana lkn list yote aliyoitaja sasa iko nje ya Mfumo January Makamba Benard Membe (marehemu) Nape Nnauye Dulaa kinana hongera Sana Musiba yametikis January
  20. Intelligence Justice

    Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
Back
Top Bottom