Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemaliza kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya. Kura moja iliharibika, na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kufikia 869.
Uchaguzi huo umefanyika jana...