crypto

The International Association for Cryptologic Research (IACR) is a non-profit scientific organization that furthers research in cryptology and related fields. The IACR was organized at the initiative of David Chaum at the CRYPTO '82 conference.

View More On Wikipedia.org
  1. Simeone

    Crypto arbitrage Scanner

    Wakuu nimetengeneza website ya kugundua fursa za Crypto (arbitrage) https://arbitrage.liveblog365.com Nimeweka matangazo ya adsterra lakini wadau wanasema muonekano ni mbaya na matangazo hayapo sehemu sahihi, naomba mfungue hiyo link kwa maoni na ushauri. Je matangazo natakiwa niyaweke sehemu...
  2. FestoKaguo

    Kama na wewe ni kijana wa kitanzania na una hii tabia basi huu uzi unakuhusu

    Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia, vijana wengi sana wanatumia muda wao mwingi kujifunza njia mbali mbali za kujiingizia kipato kupitia...
  3. Yoda

    Chakula maalumu cha usiku kwa ajili matajiri wanunuzi wa Cryptocurrency ya Trump chalalamikiwa kuwa duni.

    Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin. Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na...
  4. Heritage123

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  5. FestoKaguo

    Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  6. FestoKaguo

    Feedback kutoka kwenye ule uzi wa OKX na give away zake

    Habari wana JF hope mnajiandaa vyema kabisa na pasaka wiki hii Wiki kadhaa zilizopita nilishare thread humu iliyokuwa inahusu blockchain and cyptocurrency especially kwenye kipengele cha crypto exchanges. Kwenye huo uzi nilielezea kuhusu zawadi au Give away zilizokuwa zinatolewa na exchange ya...
  7. FestoKaguo

    Muendelezo wa njia za kutoka pesa Binance kwa kutumia Binance Pay

    Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki. Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza...
  8. FestoKaguo

    Top 5 ya digital products unazoweza anza kuziuza na kuingiza kipato ukiwa popote pale duniani!!

    Hello JF community, Hope mnaendelea poa nimekuwa napost thread humu ya vitu ninavyofanya na kwa lengo la kuelimisha vijana wengine wajifunze pia kitu ninachofanya leo nimekuja na hii thread ya digital products 5 unazoweza kuziuza mtandaoni. Na uzuri wa digital products huwa haziendi out of...
  9. Simeone

    Je crypto inamilikiwa na illuminati?

    Kuna taarifa nimeiona bbc hasa baada ya kuona nembo ya illuminati imefanana na payment system(WEBMONEY) hebu tulijadili hili wakuu,,,,,,, mimi siyo mwandishi mzuri picha zinajieleza angalia hapo
  10. FestoKaguo

    Usije ukaikosa hii give away ya OKX kwenye upande wa Cryptocurrency and blockchain utajuta!!!

    Kama wewe ni mpenzi wa cryptocurrency na unapenda kujifunza cryptocurrency huu uzi unakuhusu kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kupitia huu uzi utaenda kuingiza maelfu ya dola kama utakuwa makini kufuatilia nilichoandika. Kwenye crypto huwa tuna terms mbili ya kwanza ni CEX na ya pili ni...
  11. snipa

    Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  12. snipa

    Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

    Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
  13. Forgotten

    Ross Ulbricht wa Silk Road sasa yupo huru baada ya miaka 11 gerezani!

    Asante, Donald J. Trump! Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya biashara ya kielektroniki "Silk Road" inayojulikana kwa ulanguzi wa dawa za kulevya. Ross Ulbricht...
  14. FestoKaguo

    Kwanini Cold Wallet ni Muhimu kwa Usalama wa Crypto??

    Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia hadithi nyingi za watu waliofanikiwa kwa kutumia Bitcoin na alihamasishwa na uhuru uliokuja na...
  15. Last_Joker

    Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  16. snipa

    Bybit Kuzindua Islamic Account inayofuata Shariah

    Ni mwendelezo sasa mzuri sana Kwa CeX exchange au Centralized Exchange kama bybit kuwapa uhuru baadhi ya watumiaji wenye Imani zinazozingatia sharia fursa ya kuweza kutuma account zinazofuata misingi ya Imani zao. Sharia ambayo huamini kwenda kinyume kabisa na riba (interest), Maysir (gambling)...
  17. Last_Joker

    Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
  18. M

    Nimepoteza dola 500 kwenye crypto futures, ni mgeni kwenye tasnia hii, napataje mentor?

    Habarini! Mimi nawiwa sana kujaribu kitu hiki, ukizingatia kwa sasa kwamba dunia ni teknolojia, na teknolojia ndiyo dunia yenyewe. Mhe. Nape Nnauye alishaongelea hili suala akiwasihi vijana wa kitanzania na watu wazima kama mimi, wachangamkie fursa hii. Nimejaribu mara kadhaa ku trade futures...
  19. M

    Unamshauri nini 'beginner' wa crypto anayetafuta mentor?

    Habari! Sarafu mtandao, almaarufu cryptocurrency, ni aina ya teknolojia mtandao inayokua kwa kasi ya ajabu. Hii imevutia wengi wa vijana kuvutiwa nayo na hivyo kutafuta wafundishaji, yaani mentors, ili wawafundishe namna ya kunufaika na teknolojia hii kupitia TRADING. Visa vya utapeli vimekuwa...
  20. Equation x

    Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Back
Top Bottom