crdb

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho yao kurejea Nitahama rasmi CRDB

    Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini. Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika. Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA. Mods tusipangiane...
  2. H

    JamiiForums Tanzania CRDB Waliwadanganya Wateja Kuwa Wanaboresha Mifumo, Kumbe Wahuni Walikuwa Wanaharibu Mifumo

    Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara walipoanza, huduma za kibenki, kwa siku 4 mfululizo zikawa ama hazipatikani kabisa, au zikipatikana nusunusu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka kununua hisa za CRDB: Case study of IT Outage

    Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually. Sasa swali linakuja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

    Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako. Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ? Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
  6. JamiiForums Tanzania CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  7. JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni zile nchi zilizoendelea Bodi nzima na Mkurugenzi wa CRDB wangekuwa wameshajiuzulu

    Ingekuwa ni zile nchi zilizoendelea bodi nzima na mkurugenzi wa CRDB wangekuwa wameshajiuzulu ila ni kwakuwa haya mambo tunafanyiana masikini basi tu Pesa zinakatwa kwenye akaunti kihoe hae na haupati muongozo wowote wa kuirudisha Miamala inafanyika haifiki kwa mlengwa wakati kwenye akaunti...
  8. JamiiForums Tanzania Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

    Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala. Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu. Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bank ya CRDB

    Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio), Au ni ule wa reducing balance (ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  11. JamiiForums Tanzania Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

    Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hisa za CRDB zimeshuka hivi

    Nimecheki leo Yani ni zero 0.00. Wiki mbili zilizopita ilikuwa 1500. Kwa hiyo nimepoteza 5million USD nilizo wekeza.
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

    Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa. Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote. Hii bank imekuwa ya kijinga Sana. Bora kuweka pesa international banks.
  14. JamiiForums Tanzania CRDB CRDB CRDB, Nawaita mara tatu!!

    Hii CRDB mnatutendea vibaya sana! 😡 Jana mmekata hela kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu. Hata mbaya zaidi, nimetuma hela kwenda M-Pesa na hazijafika wala kurudi tena kwenye akaunti yangu. Hii ni dharau kubwa kwa wateja wenu. Hivi mnajua maisha yalivyo magumu huku chini? Kila senti...
  15. JamiiForums Tanzania Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

    Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela. Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account. Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu...
  16. JamiiForums Tanzania Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

    Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB. Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea. Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
  17. JamiiForums Tanzania Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Kuna mwamba humu aliwahi kusema hii benki iliondoka na kimei sasa ndio namuelewa.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom na CRDB ni wezi?

    Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu. Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100.. Sasa unapojaribu kuitumia huwa wanakata hiyo fedha haijalishi umefanikiwa au haujafanikiwa. mara nyingi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

    Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela! Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
  20. JamiiForums Tanzania CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

    Wake kwa Waume habari zenu. Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…