Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms.
ATM za CRDB zimejaa wezi
Msizitumie.
Ukiweka ATM card ile ya kuscan.
Ukitoa tu,
Wanadetails zako zote.
Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu.
Wanaiba na hawana aibu.
Wadau habari za mida,
Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe.
Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
CRDB Vijana Branch Kariakoo, really needs to rethink its customer experience operations.
Kariakoo is one of the busiest commercial areas in Dar es Salaam, especially on Fridays when cash transactions peak. Yet customers often find themselves in very long queues for simple deposits or...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema uzinduzi wa Ofisi ya Uwakilishi ya Benk ya CRDB Dubai ni kielelezo cha uhusiano mzuri wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia...
Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto.
Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
Hii imetokea siku ya Ijumaa tarehe 16 January 2026, Kuna jamaa aliingia kwenye hili TAWI, akiwa ameenda kupata huduma ya kuweka fedha katika akaunti zingine, lakini yule mteja Kila alichokuwa anafanya yule mteja wale wafanyakazi wa TAWI wakiwa makini sana kufuatilia baadae akatokea mfanyakazi...
Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police.
Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa.
Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni
Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikaambiwa wakijiamini ndani ya masaa 6 zitarudishwa ni wiki...
Benki ya CRDB imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 125.4 na Dola za Marekani milioni 32.3 kupitia mauzo ya hatifungani yake ya CRDB Al-Barakah Sukuk, hatua iliyovuka malengo ya awali kwa zaidi ya asilimia 400.
Uuzaji huo uliofanyika kwa siku 40 kuanzia Agosti 9 hadi Septemba 19...
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB...
CRDB Bank PLC, a cornerstone of Tanzania’s financial sector and a leading bank in East Africa, is renowned for its innovative approach to banking and commitment to fostering talent. With a strong presence in Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo, CRDB Bank is dedicated to...
Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?
Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.
Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.
Acheni kucheza na hela za watu bana.
Rudisheni hela za wote mliowaibia.
Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na...
Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine.
Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
02 October 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.